Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?

Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?

Naona unajaribu kutetea sana hao na kupanga tukio lilivyo
Kumbuka gari haina dash cam ya kurekodi matukio yote bali ni simu tu na ameanza kurekodi tukio baada ya kusimamishwa
Kitu gani huelewi hapo
 
Rudi shule kasome vizuri uelewe tena ikibidi mpaka Kipara kikuote kichwani.

Sheria iko wazi kabisa kuwa muhimili mmoja haupaswi kuingilia muhimili kikazi.

Ndiyomaana unaona ofisa TRA hawezi kufanya kazi ya ofisa TBS, na Ofisa TPA hawezi kufanya kazi ya TAA.
Kwa taarifa yako Kisheria anyone can make an arrest

Mtu yeyote anaweza kuarrrest linapofanyika kosa hata wewe
 
Hilo ni kosa kufuata nyuma hilo gari. Wakati mmoja kunajamaa alifuata msafara kwa kupimana nao mbio. Ulikuwa wa Kagame akitokea airport. ghafla akastukia IST imetokea from no where iko ubafuni mwake inajaribu kumzonga atoke nje ya barabara. Akaamua kuingia barabara ya vingunguti kwenda kuzunga kule mahakama ya mbusi.

Si kuwa kaifuata hiyo gari. Bali kaendelea kuelekea alikokuwa akienda ambako ndiko gari hiyo ikienda.

Kimsingi hakutegemea shari.

Hata iliposimama alikuwa n muda wote wa kutoroka kama angependa.

Dogo kwa umri wake nadhani alifanya yote kujihami na kupisha shari.

Atakuwa anajuta kuzaliwa Tanzania.
 
Naona unajaribu kutetea sana hao na kupanga tukio lilivyo
Kumbuka gari haina dash cam ya kurekodi matukio yote bali ni simu tu na ameanza kurekodi tukio baada ya kusimamishwa
Kitu gani huelewi hapo
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!

Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja
 
Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.

Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?

Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.

Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.

Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.

Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.

View attachment 2182358
Nina hasira na hawa wapumbavu, we are not trained for bullying others illegally
 
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!

Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja

Kama ambavyo vyombo vya dola vimekuwa haviaminiki tena ambapo camera ni sumu kuvu kwao.
 
Kwa taarifa yako Kisheria anyone can make an arrest

Mtu yeyote anaweza kuarrrest linapofanyika kosa hata wewe
Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80% ya kila rasilimali.

Unamkamataje Mtu bila kibali cha mamlaka husika, au huoni umejichukulia hatua mkononi?

Je huyo Mtu akikufia mikononi mwako utajitetea vipi kuwa ulikuwa unamkamata kisheria bila ya vielelezo vyovyote vya sheria husika ya hayo mamlaka?
 
Vijijini mtu anakamatwa na kupelekwa kwa mjumbe au Mwenyekiti wa serikali ya mtaa! Hujui hilo?

Kukamatwa sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting

Unajuaje kama aliingizwa pale ili polisi wataarifiwe waende kumchukua?

Mjini Dar es salaam nako mtu anamkamatwa na kupelekwa nyumbani kwa mtu?
 
Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80 ya kila rasilimali.

Unamkamataje Mtu bila kibali cha mamlaka husika, au huoni umejichukulia hatua mkononi?
Wapi kusheria imeandikwa kumtamata mtu lazima uwe na kibali?

Kwa kukuelimisha tu
Tanzania Kuna arrest with a warrant na arrest without a warrant
 
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!

Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja

Hawana uungwana simple
Kuna kesi zao nyingi sana
Wao wanaposimama katikati ya barabara kibabe unaona sawa kabisa
Au show off hizo mnapenda sana ama
Sasa wewe kawaulize huo upande mwingine utuletee ukweli Na mimi nawaza na kutafakari pia
Uwe na siku njema
 
Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80 ya kila rasilimali.

Unamkamataje Mtu bila kibali cha mamlaka husika, au huoni umejichukulia hatua mkononi?

Je huyo Mtu akikufia mikononi mwako utajitetea vipi kuwa ulikuwa unamkamata kisheria bila ya vielelezo vyovyote vya sheria husika ya hayo mamlaka?
Nimeshangaa jamaa katoa wapi hiyo sheria yake. Nchi hii ujinga bado upo kwa kiasi kikubwa sana.
 
Mjini Dar es salaam nako mtu anamkamatwa na kupelekwa nyumbani kwa mtu?
Sana tu!
Watu wanakamatwa sana na kufikishwa kwa wenyeviti wa serikali za mtaa ambao kisheria wanafahamika Kama walinzi wa amani
 
Hawana uungwana simple
Kuna kesi zao nyingi sana
Wao wanaposimama katikati ya barabara kibabe unaona sawa kabisa
Au show off hizo mnapenda sana ama
Sasa wewe kawaulize huo upande mwingine utuletee ukweli Na mimi nawaza na kutafakari pia
Uwe na siku njema
Hao ni chombo cha ulinzi na Usalama! Wana mandate zote kama kikosi cha ulinzi na usalama

Kaka polisi anavyosimama hao nao wanasimama barabarani na kutoa maelekezo wakiwa kwenye shughuli zao?

Mbona huulizi wakiwa kwenye kuongoza msafara inakuwaje wanatoa amri uwapishe na wewe unatii?
 
Back
Top Bottom