Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hawajuwi kwamba Dunia ni ndogo kama kiberiti na ulinzi wa WaTanzania ni jukumu la kila Raia ...ndo maana Reform iko njianiWapuuzi saaanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajuwi kwamba Dunia ni ndogo kama kiberiti na ulinzi wa WaTanzania ni jukumu la kila Raia ...ndo maana Reform iko njianiWapuuzi saaanaaa
Unajuaje kama walitaka kumuhifadhi hapo ili waite traffiki?Kulikuwa kuna haja gani ya kufanya hayo waliyafanya kwa makosa ya barabarani, kwanini wasingeita trafiki washughulike naye huyo raia.
Lakini kwa ushamba wao wanaamua kujifanya wao ni special sana,ni washamba tu.
Hii ni ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Hii ni kukosa professionalism.Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Hakukuwa na haja ya kumpeleka kijana hilo eneo, ni kwasababu wanausalama wengi wamekuwa na hulka ya kujiona wana mamlaka juu ya sheria na kwamba unaweza muwajibisha yeyote wakati wowote. Na wengi wenu mpo kinyume na kijana kwakuwa kasema neno "mjomba wangu ni mbunge, atanitoa"Wamekosea nini?
Nani kasema nchi hii ni ya wana usalama peke yao?Dogo nae alizingua huo mnyama hata na yeye hakujiongeza kidogo ye analeta kidomo domo chake eti kisa msukuma ni mjomba ake[emoji23][emoji23], ngoja akale kazi.
Kwa nini unasema hakukuwa na haja ya kumpeleka hapo?Hakukuwa na haja ya kumpeleka kijana hilo eneo, ni kwasababu wanausalama wengi wamekuwa na hulka ya kujiona wana mamlaka juu ya sheria na kwamba unaweza muwajibisha yeyote wakati wowote. Na wengi wenu mpo kinyume na kijana kwakuwa kasema neno "mjomba wangu ni mbunge, atanitoa"
Haviaminiki kivipi?
Kama haviamiki ungeamka salama leo ba kuchati mtandaoni?
Kamuulize Tumail ElNdugai naye je kaamka salama pia?
Vipi Moses Lijenje, Ben Sanane, Azory Gwanda au hao:
View attachment 2182466
Mbona kuna wizi kila upande. CAG analalamika kila mwaka? Nani anayeiba kama wao ndio walinzi? Hii ya barabarani ni kudhalilisha faniUsalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Kamuulize Tumail El
Mjinga sana huyo jamaa.Mjombangu mbunge atakuja kunitoa[emoji1787][emoji1787]
Kwanini wasimpeleke polisi? Lini wameanza kushughulika na makosa ya barabarani na kuwahifadhi watuhumiwa kwenye ofisi zao.Unajuaje kama walitaka kumuhifadhi hapo ili waite traffiki?
Hao ni chombo cha ulinzi na Usalama! Wana mandate zote kama kikosi cha ulinzi na usalama
Kaka polisi anavyosimama hao nao wanasimama barabarani na kutoa maelekezo wakiwa kwenye shughuli zao?
Mbona huulizi wakiwa kwenye kuongoza msafara inakuwaje wanatoa amri uwapishe na wewe unatii?
Great Mkuu!!!Kum arrest unampeleka nyumbani au ofisini kwako?
Vituo vya polisi vipo vingapi au traffic police barabarani hawapo?
Acheni uonevu hata kwa madogo kama huyo.
Kwenu hamna madogo nyie? Au haukuwahi kuwa wadogo?
Madogo ni wa kuelekeza si kuonea. Khaaaaaa!
Disgusting.
Barabarani mwenye nguvu mpishe tu.Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.
Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.