Hiyo Katiba mpya sijui itakuwa na page ngapi maana kama mpaka mambo ya kupiga picha itakuwa humo!!Hata kama kuna evidence kuwa picha uliyopiga ina element za jinai?
Ndo sababu katiba mpya ni muhimu sana kuna vitu vikewekwa ili ukihoji ujikute upo matatizoni , just kwa ajili ya nterst za viongozi.
Kuna mbunge aliwahi kuhoji inakuwaje mikataba mingi mibovu ya serikali ilikuwa na muhuri wa 'confidential'