Asante mamy!Pole sana dada
Watoto ni baraka kutoa kwa Mungu yeye ndio anajua wakati gani unastahili. Wapo wengi hata kwenye vitabu vyetu vya imani tunaona wanawake waliokosa watoto wakapata kwa wakati ambao hawakutegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kipenzi
Amina dear! Sijakata tamaa kwani Yeye ni Muweza wa yote ila hata kama sitakuja kupata bado atabaki kuwa Mungu MuwezaPole sana jamani dada!
Kuna wakati wa Mungu, usichoke kumshukuru kila leo!
Shukrani[emoji1317]Pole sana.
Amina mpendwa! UbarikiweMshukuru Mungu kwa hali unayoipitia..
Ni maombi yangu kutoka ndani ya vilindi vya moyo wangu,Mungu akukumbuke na akupatie hitaji la moyo wako kwa utukufu Wa jina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri wako. Nitautafakari kwa kina!Tumia surrogate Achana na wewe kupandikizwa
Asante mamy
Shukrani dear [emoji1317]
Shukrani [emoji1317]
Kumtia Moyo au kumtia mboooo?Wanawake bwana!!! Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
My wife wakati anaangaika ku conceive alikuwa anapata vijembe sana kutoka kwa wanawake flani flani lakini niliendelea kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika atufae hachoki, nitakutafutaNitafute nikwambie sababu na tiba yake. Atafutaye hachoki.
Ndo maana wanaume huwa tunaanza kutest mitambo ukiona mpenzi wako kapata mimba ndo unaanza maandalizi ya kuoa
Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Hakuna unyanyapaa, wasichana wa kizazi cha Leo haswa wasomi kuwa nao makini wengi unakuta alishatoa mimba na wamemharibu kizazi,Mkuu huu ni unyanyapaa! Sio kila mtu amecheza na ujana! Utajiskiaje uwe wewe huna uwezo atokee mtu aseme hvi?? Hvi kwann tunakosa utu namna hii?
Kama unahitaji ushauri zaidi unakaribishwa ila surrogate asiwe ndugu yako au mtu wa karibuAsante kwa ushauri wako. Nitautafakari kwa kina!
Thanks dear!i can feel your pain mdada. Pole sana na pia usikate tamaa maana Mungu hajatuumbia majaribu yaliyo nje ya uwezo wetu. Stay strong