🤣@numbisa @to yeyeKuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.
Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
Imagine! Yaani sababu kuna wachache wanatumia vibaya basi population yuko inajumuishwa, halafu tunataka tupate wavumbuzi wa teknolojia mbalimbali nchini. Ubaguzi wa kijinsia unatumaliza TZ
Hatutamani kuwaoa bali kusuuza tuu runguIla hao wa mitandao ndio mnawatamani... hahaha wanaume bwana...
Hatuwatan kuwaoa bali nyie wa kupiga pumbuIla hao wa mitandao ndio mnawatamani... hahaha wanaume bwana...
Kaka mm wengi wamenitumia uchi wengi sana na mm huwa nahifadhi sifutiWengi kwenye akaunti zenu hamkosi picha mmeonyesha tako au jinsi mmeumbika au sehemu fulani ya mwili ambayo unajua hii itapata attention
Mwanamke mtandaoni unafanya nn mda wa kuw kitandani na bwana akooImagine! Yaani sababu kuna wachache wanatumia vibaya basi population yuko inajumuishwa, halafu tunataka tupate wavumbuzi wa teknolojia mbalimbali nchini. Ubaguzi wa kijinsia unatumaliza TZ
Kuwa na wanaume wanaokwaza mtandaoni kama wewe haimaanishi wote ni wapumbavu, ndivyo ilivyo kwenye mambo mengine yote. Ungekuwa unafanya mambo ya maana wala usingekutana nao au wasingekuwa a bother kwako.Mwanamke mtandaoni unafanya nn mda wa kuw kitandani na bwana akoo
Ila hao wa mitandao ndio mnawatamani... hahaha wanaume bwana...
😂😂 Na tutapata sana like what you saidVijana siku hizi kupata pressure ni rahisi sana....
Mm mke wangu hawezi tumia smart na hata akitumiaa ni single tuu WhatsApp imo kwa vile yupo nje ya nchi Facebook taka taka zote hapanaKuwa na wanaume wanaokwaza mtandaoni kama wewe haimaanishi wote ni wapumbavu, ndivyo ilivyo kwenye mambo mengine yote. Ungekuwa unafanya mambo ya maana wala usingekutana nao au wasingekuwa a bother kwako.
Ni nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mumeKuna wanawake ni kwa ajili ya starehe sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke
Wanawake hao huwa tunawachukulia tu kama bangi inayovutwa masikani na masela
Ni mwendo wa kupokezana kila mmoja apige pafu 2 au 3 mpaka kipisi kiishe
Umeongea sana kwakweli ni hivyoooKuna wanawake ni kwa ajili ya starehe sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke
Wanawake hao huwa tunawachukulia tu kama bangi inayovutwa masikani na masela
Ni mwendo wa kupokezana kila mmoja apige pafu 2 au 3 mpaka kipisi kiishe
KabisaaaaInauzwa miili biashara ni ziada tu
Wewe ushawahi sikia mwanaume malaya weweNi nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mumemsituchoshe kukaa kusimanga wanawake utafikiri kwa wanaume hakuna takataka.
Kama nilivyokwambia hapo juu, haimaanishi wanaume wote ni wapumbavu, na usifikiri kila siku utakuwepo, kila kitu kina uzuri na ubaya wake, angalia unaweza vipi kutumia uzuri huku ukiwafunza kukabiliana na ubaya yake. Kumzuia siyo suluhisho kama fursa na the future inaelekea huko, sana sana unakomoa mwenyewe tuMm mke wangu hawezi tumia smart na hata akitumiaa ni single tuu WhatsApp imo kwa vile yupo nje ya nchi Facebook taka taka zote hapana
Nakutoa kyuma mnatoa sana😂😂 Na tutapata sana like what you said
Wewe ushawahi sikia mwanaume malaya wewe
Wanawake easy sana kuwa ruined kwa wanavyoviona kwenye mitandao,mambo mengi ya kwenye mitandao ni "FIKS" tu kutafuta views na followers tu.
Huku mtandaoni wengi wanauza kama sio woteee mm sijawahi mfuata mdada nikamkosa huko fb inst x na kadhalikaKama nilivyokwambia hapo juu, haimaanishi wanaume wote ni wapumbavu, na usifikiri kila siku utakuwepo, kila kitu kina uzuri na ubaya wake, angalia unaweza vipi kutumia uzuri huku ukiwafunza kukabiliana na ubaya yake. Kumzuia siyo suluhisho kama fursa na the future inaelekea huko, sana sana unakomoa mwenyewe tu
Hakuna mwanaume malaya mwanaume karuhusiwa kuwa na wanawake hata wote akiwa na uwezo kama Suleiman alikuwa na 700 na michepuko 300 ni malaya au ķidumeupumbavu wako kichwani hauzii wewe kuwa takataka ukijiweka kama takataka! Umalaya ungekuwa fahari Engonga angekuwa mtume anayetukuzwa saivi. Ucha ujinga kijana, kinyesi ni kinyesi tu hata ukipake marashi kitabaki kuwa kinyesi