Kuna utata ulichoandikaWatoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Aisee mkuu umenikumbusha Seminary.Maraika wa bwana alimpasha habali maria naye akapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu
Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.Kuna utata ulichoandika
Mchungaji hafanyi ngono ama? Kama anafanya how comes hapati mimba na mke wake wakati umesema mtoto ni matokeo ya ngono ?
Navyojua unaweza kufanya ngono na usipate mimba
ChaiKampelekee Bibi yako kule kijijini kwenu Kazuramimba anywe.
Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.
Kumbe ni uongo tu na imani ya uongo.
AtuelezeeMkuu mbali na kusema hakuna Mungu ilitakiwa uende viral zaidi uelezee asili ya binadamu wa kwanza ni ipi,
Waliopata mtoto kwa kubakwa je ?Waliokua kwenye ndoa wakipata mtoto wamepata mtoto kwa kupitia sakrament ya ndoa yani tendo takatatifu
"He" ? Why not she ?"He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer/Opponent"
16:4 Qur'an Surah ya 16, ayah ya 4!
Hii mada ni ndefuNdiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
Tuwaulize Waingereza Pronoun ya Mungu ni ipi."He" ? Why not she ?
Kuna wanaofanya ngono wanaenda mpaka kwa waganga hawapati mtoto hilo unazungumziaje?Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
He's not even a He or She He's beyond gender"He" ? Why not she ?
Kwamba mke wa mchungaji hafanyi ngono anaomba tu ndio maana hapati? sijaelewa hapa mkuuWatoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Imebidi nicheke best halafu kumbe mseminari kama mimi aisehh
Ni asilimia 2% tu ya binadamu duniani hawawezi kupata mtoto kabisa. Kuna ugumba wa muda pia unaoathiri 16% ya watu duniani, huku ni kule mtu kuchelewa kupata mtoto baada ya mwaka mmoja wa ngono lakini atapata tu mwisho wa siku.Kuna wanaofanya ngono wanaenda mpaka kwa waganga hawapati mtoto hilo unazungumziaje?