Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, Wife kastuka usingizini kwa bed. Ananiambia “endelea kuchekeshwa na malaya zako kwa simu”

Muonyesh nae acheke [emoji23]
 
kuna limoja nilikuta linamsuka mwanaye wa kiume nywele ilinichukua muda sana kujua kwamba dogo ni ME baadaye likiwa bwabwa anaanza kwenda kutafuta mafuta ya alizeti kwa mwamposa, watu wamevurugwa sana maaneeneeer

Duh
 
Sasa hapo aibu ya nini kama mimi namkazia tu hadi ataona aibu yeye na mama yake
 
Hatukukatazi kudekeza mtoto wako...dekeza unavyotaka cha muhimu asiwe kero kwa wengine
 
Wa kumlaumu ni mwanaume, familiar yyte ikiyumba ujue mwanaume hajakaa nafasi yake ,
Unakuta na yeye ana Ile 50/50 na maswala ya utandawazi huo upuuzi kwenye familiar yangu hawez tokea ,
Wanawake hawapaswi kupewa uhuru wowote ule , iwe wa mavazi au sehem za kwenda.
Almost %95 ya maisha yao yanatakiwa kuhakikiwa na mwanaume kama sio baba yake basi mme wake
NB: ni mwanaume mwenye akili zilizo KAMILIKA sio Hawa wa Sasa ,
(mfano huyo ulienkuta mkewe mapaja wazi , huyo hapana)
 
FaizaFoxy achaa udini, kuna watu hawajui hata dini ni Nini na wanawalea Watoto wao kwenye misingi mema ya adabu kwa Jamii! Swala la malezi ni general,usipende kusingizia Dini kila kitu!!!
 
Nagombana na wanangu mapema sana kuhusu hilo niepukane na aibu hii Mbele ya mgeni sio heshima hata kidogo hata mtt kuzoea mgeni kupita kiasi sio vizuri Hawakawii kuuliza mgeni unaondoka lini..au unakula sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah ase miak mitaty inatosha

Juzi nilikuwa naoga sasa navaa mtoto kaja si akaaza kulopa embu mdudu wako kojoa nilitaka nimfinye ila nikamuacha tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]me anaulizaga eti hiyo nini???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, Wife kastuka usingizini kwa bed. Ananiambia “endelea kuchekeshwa na malaya zako kwa simu”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…