Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Ccm wote ni wapumbavu pamoja na mtoa maelekezo. Kwa hio wanajifanyia mambo bila kuangalia impacts yake
 
Ikiwa CCM na serikali yake hawapo tayari kufanya uchaguzi huru na haki, ni bora kusiwepo kabisa uchaguzi. Fedha zikapelekwa kujenga SGR, Bwawa kubwa la Umeme(Stiglers ).

Hatuna sababu kutumia Mabilioni kujidanganya au kuuhadaa ulimwengu ambao kimsingi hawadanganyiki.
 
Kwahiyo unafikiri hao chadema na ACT ni wapuuzi kama walikatwa kwenye fomu kwenye kura si ndio watachinjiwa baharini hata damu haitoonekana
 
Wapinzani waliona watashindwa vibaya ikabidi wakimbie

Ila janja yao imestukiwa,hakuna kujitoa

Kwani wale waliowaengua wapimzani kumbe walikuwa wameteuliwa na wapinzani mi nilidhania ni watumishi wa tamisemi kama sheria inavosema.
 

Pale akili za utumbo mkubwa zinapofanya kazi!
 
Amesha
 
Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Umeshakuwa mchezo wa kitoto huu, wacha mkacheze wenyewe.
 
Hii press inahusu wagombea binafsi. Kwa kifupi Tanzania imeingia kwenye aibu. Chama kijiondoe halafu mgombea abaki kuwa halali! Pathetic.
Sasa magufuli kama anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kuiona haifai sasa hicho cheo chake cha urais na ukuu wa nchi anakipata wapi?
 
Mkirudi mjue mmeliwa. Otherwise mkirudi mdai Haya:
1. Daini katiba huru
2. Tume huru ya uchaguzi
3. Watendaji (Wasimamizi) waondolewe. Wapatikane huru. (Jiulizeni, hivi kilichotokea ni kwa bahati mbaya? Kama walipewa maagizo ya kutenda uovu na wakatenda, Je mkirudi hawatapewa tena maagizo na watekeleze?)
4. Ukaguzi ufanyike kwenye Yale madaftari ya uandikishaji( mshawahi jiuliza tangu uandikishaji kwisha daftari ziko Wapi? Nini kimefanyika humo?)

Hayo ni machache, mengine jiongezeni. Mkija kichwa kichwa tutawala kama kawaida
 
Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.

Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?

Maendeleo hayana vyama!
Mchakato uanze upya wengine walinyimwa fomu za kugombea.
 
Kama tumewasikieni baada ya kususia Uchaguzi, Daini Tume Huru! Mtasikilizwa pia!

Kidumu Chama Tawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…