Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni biriani wa lumumbaDada yetu unafanya kazi saa ngapi?
Ccm wote ni wapumbavu pamoja na mtoa maelekezo. Kwa hio wanajifanyia mambo bila kuangalia impacts yakeNamuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote
CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote
VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT
CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote
Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote
State agent
Jafo hajawahi kufanya kazi kwenye Halmashauri, anaposema vilivyosusia ni vyama sio wagombea ,ana maanisha wagombea wataendelea kupigiwa kura, hajui madhara yake ukiwa watachaguliwa, hawatashiriki shughuri zozote za maendeleo ikiwa watapita. Ikitokea hivyo shughuri nyingi za kwenye hizi LGAs zinategemea sana hawa viongozi na sio madiwani. Watapelekewa vifaa vya viwandani kwenye miradi wataviweka ndani, shughuri nyingi za wananchi zitakwama.
Mimi nafikiri utafutwe muafaka , Jafo ana mamlaka ya kuwarudisha wagombea wote waliotolewa, kwa sababu makosa yao ni madogodogo tu ya ujazaji wa fomu sio ya jinai.
Lazima ifike mahari tukubali hatukufikiria wakati tunapanga kuwaondoa xhadema na ACT, ilibidi pia tupandikize wahombea toka kwenye vyama vingine 11,ili hawa wakigoma hao wengine wanabakizwa kwa ajiri ya justification, sasa hawajasimamisha wagombea halafu wanaambiwa waende mbele ya waandisha wa habari wakatoe tamko la kuendelea na uchaguzi, wakati tumeshachelewa
LGBT
Wapinzani waliona watashindwa vibaya ikabidi wakimbie
Ila janja yao imestukiwa,hakuna kujitoa
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Namuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote
CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote
VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT
CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote
Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote
State agent
[/QUOAmeshachelewa washinde kwa %100
Umeshakuwa mchezo wa kitoto huu, wacha mkacheze wenyewe.Kama kuna uamuzi wa hovyo uliwahi kufanyika basi ulikuwa huu wa mapingamizi ya kijinga kabisa
Asante kama mmeliona hilo
Jamani twendeni tukashiriki uchaguzi hali sasa ni shwari
Sasa magufuli kama anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kuiona haifai sasa hicho cheo chake cha urais na ukuu wa nchi anakipata wapi?Hii press inahusu wagombea binafsi. Kwa kifupi Tanzania imeingia kwenye aibu. Chama kijiondoe halafu mgombea abaki kuwa halali! Pathetic.
Mchakato uanze upya wengine walinyimwa fomu za kugombea.Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
Yaani huyo uliyemkot nikiaz balaaaSasa umeandika mavi gani aise