Hapo alipo ndio kazini penyewe, BOOK7 at workDada yetu unafanya kazi saa ngapi?
Huo uchafuzi utasimamiwa na watendaji hao hao waliowakata??? Nonsense,Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
Hakuma chama kitashiriki zoezi hili.. ni upumbavu wa hali ya juu.Hilo halitoshi kote ambako waziri Jafo anasema ccm imepita nila kupingwa ni kwamba watendaji walijificha au walifanya hila ili wagombea wa vyama vingine washindwe hata kupata tu hizo fomu. Huu "uchafuzi" ni batili
Vituko vya awamu ya tano havitakisha.Nasikia kasema kila aliechukua form na akairudisha ataruhusiwa kugombea na hivyo hakuna alieenguliwa. Kama ni kweli hivi ni vituko aiseee.
Washenzi hawawezi kuacha asili yao. Wakikukosa hapa ujue watakuvizia mbeleni kwani wanasema lazima washinde kwa kishindo hata ikibidi goli la mkono lifungwe. Bado sijaona sababu za sarakasi zote hizo.Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
"Hakuna kukimbiana, hakuna kuweka mpira kwapani, lazima kieleweke tarehe 24, Novemba, 2019" - Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo asisitiza kuwa wote waliochukua na kurejesha fomu watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.Wapi wamelazimisha?
Aaah nilikuwa sijui mkuuHapo alipo ndio kazini penyewe, BOOK7 at work
They are nothing for nothingJafo, why all this trouble? Si muache mtawale nyinyi peke yenu? Nilisema mmerahisishiwa kuua upinzani, tabu yote unayopata ya nini? Unahangaika nini? Kwani upinzani watawafanya nini? majeshi mnayo, pesa ni zenu, why all this trouble?
Cha kushangaza CCM watakuja tena na kumsifia Jafo na kuiponda CHADEMA! Hawa jamaa wana akili za kwendea chooni tu!
Jafo kachanganyikiwa hajui hata huu ni mwaka gani. Mwaka 2910 wala hakutakuwa na nchi inaitwa TanzaniaCcM jifunzeni kuchuchumaaa.. mtaabika?
Jafo kama una akili futa zoezi zima.. uchaguzi pelek mwakani?
Wananchi sio wajinga wala chadema sio watoto kama onavyo dhani na wana ccm wenzio.
Mode tuachie uzi wetu huu .. usichangannye na ule wa TV.
View attachment 1259568
CcM jifunzeni kuchuchumaaa.. mtaabika?
Jafo kama una akili futa zoezi zima.. uchaguzi pelek mwakani?
Wananchi sio wajinga wala chadema sio watoto kama onavyo dhani na wana ccm wenzio.View attachment 1259568