Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hilo halitoshi kote ambako waziri Jafo anasema ccm imepita bila kupingwa ni kwamba watendaji walijificha au walifanya hila ili wagombea wa vyama vingine washindwe hata kupata hizo fomu. Matokeo yake ccm peke yao ndiyo waliochukua na kurudisha kishwa wanasema wamepita bila kupingwa.
Huu "uchafuzi" ni batili
Huu "uchafuzi" ni batili