Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Uchaguzi si ushaisha na wameshinda kwa kishindo cha awamu ya tano?Kuanzia saa Nane na nusu mchana leo tujongee karibu na tv zetu.
Je, serikali itakuja na tamko gani kuhusu huu uchaguzi uliojaa mikanganyiko na ubabe mwingi?
too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMATusubiri tuone huenda busara na mawazo ya wengi yamefanyiwa kazi.
Msitufanye watoto wadogo banaLile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi.
Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi?
Maendeleo hayana vyama!
Kuanzia saa Nane na nusu mchana leo tujongee karibu na tv zetu.
Je, serikali itakuja na tamko gani kuhusu huu uchaguzi uliojaa mikanganyiko na ubabe mwingi?
Ila niseme wazi Mh Rais JPM anaiyumbisha sana nchi hii....hivi kwa nini hatulii wakati wa maamuzi.CcM jifunzeni kuchuchumaaa.. mtaabika?
Jafo kama una akili futa zoezi zima.. uchaguzi pelek mwakani?
Wananchi sio wajinga wala chadema sio watoto kama onavyo dhani na wana ccm wenzio.
Mode tuachie uzi wetu huu .. usichangannye na ule wa TV.
View attachment 1259568
too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMA
NDIO HIVYO KUNA WENGINE KILA POST WAO WA KWANZA KUJIBU, hata utume saa sita uskiku, lazima mmoja wao abwatuke hata kama pumba ili mradi kapost.Aaah nilikuwa sijui mkuu
Msiogope!Msitufanye watoto wadogo bana
Jafo, vyama vyenye uongozi wenye akili vimeshajitoa. Wewe endelea na domo lako linalotoa hewa badala ya mantiki ya hoja.
kwahiyo mgombea binafsi ni ruksa kwa sasa nchini? Katiba imebadilishwa lini na kuruhusu wagombea binafsi?"Hakuna kukimbiana, hakuna kuweka mpira kwapani, lazima kieleweke tarehe 24, Novemba, 2019" - Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo asisitiza kuwa wote waliochukua na kurejesha fomu watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ameagiza karatasi za kupigia kura zianze kutengenezwa zikijumuisha majina yote ya kila aliyerejesha fomu hata kama mwanzo walikatwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kukosea majina ya vijijiji, mitaa na vyama.
Takataka.Kuanzia saa Nane na nusu mchana leo tujongee karibu na tv zetu.
Je, serikali itakuja na tamko gani kuhusu huu uchaguzi uliojaa mikanganyiko na ubabe mwingi?
NDIO MANA HATA VIONGOZI WENGI WA DINI WANAMUUNGA MKONO MANA yeye ndio mpango wa Mungu. KATIBA MPYA IS COMING SOON!! AROUND THE CORNERUnacho sema ni kweli.. watu tumejua ni kiasi gani ccm ni waovu kwa sababu sasa wameamua kuonyesha kwa uwazi makucha yao.
Ila niseme wazi Mh Rais JPM anaiyumbisha sana nchi hii....hivi kwa nini hatulii wakati wa maamuzi.
Ila kwa upinzani huu wa Tanzania wanaweza wakashiriki kweli uchaguzi .
CCM wanawavizia kwa mbele kama hawajui hahaha
NDIO MANA HATA VIONGOZI WENGI WA DINI WANAMUUNGA MKONO MANA yeye ndio mpango wa Mungu.
Hatutaki mnatulazimisha ili iweje?1/wagombea wa chadema na act bado wanarejesha form licha ya viogozi wake kusema wamejitoa na tumewapokea na tutawapa fursa ya kugombea
2/Tumewapa fursa ya rufaa na wengi wameshida na tumewapa ridhaa ya kugombea
3/hakuna kuweka mpira kwapani,hakuna kuruka ukuta lazima wagombee
4/walichukua form na kulejesha wote watashiriki hiyo tarehe 24/10
State agent
Ndo uelewe tunaposema huu uchafuzi haupaswi kinyamaziwa?19%+4%=23%
Iweje CCM awe na 79%
Nauliza tu miye nilisoma HGL
Maendeleo hayana vyama!
Wagombee, wasigombee uchaguzi upo palepale na CCM itashinda kwa kishindo!huoni kama huku ni kulazimishana..wamewaachia uchaguzi wenu,nini mnahangaika ccm