Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Tusubiri tuone huenda busara na mawazo ya wengi yamefanyiwa kazi.
too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMA
 
Kuanzia saa Nane na nusu mchana leo tujongee karibu na tv zetu.

Je, serikali itakuja na tamko gani kuhusu huu uchaguzi uliojaa mikanganyiko na ubabe mwingi?

Jafo, vyama vyenye uongozi wenye akili vimeshajitoa. Wewe endelea na domo lako linalotoa hewa badala ya mantiki ya hoja.
 
CcM jifunzeni kuchuchumaaa.. mtaabika?

Jafo kama una akili futa zoezi zima.. uchaguzi pelek mwakani?

Wananchi sio wajinga wala chadema sio watoto kama onavyo dhani na wana ccm wenzio.

Mode tuachie uzi wetu huu .. usichangannye na ule wa TV.

View attachment 1259568
Ila niseme wazi Mh Rais JPM anaiyumbisha sana nchi hii....hivi kwa nini hatulii wakati wa maamuzi.
Ila kwa upinzani huu wa Tanzania wanaweza wakashiriki kweli uchaguzi .
CCM wanawavizia kwa mbele kama hawajui hahaha
 
Unacho sema ni kweli.. watu tumejua ni kiasi gani ccm ni waovu kwa sababu sasa wameamua kuonyesha kwa uwazi makucha yao.
too late. MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU. Katiba mpya ijayo watu watafunguka na kutulia, kwa sasa ngoja mpango wa Mungu utimie, watu kujifunza ndio mpango wa Mungu. sorry nje ya mada lakini HII ndio HOJA MAMA
 
Haka kajamaa ni kapumbavu kanasubiri kula dona segerea siku moja.
Jafo, vyama vyenye uongozi wenye akili vimeshajitoa. Wewe endelea na domo lako linalotoa hewa badala ya mantiki ya hoja.
 
"Hakuna kukimbiana, hakuna kuweka mpira kwapani, lazima kieleweke tarehe 24, Novemba, 2019" - Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo asisitiza kuwa wote waliochukua na kurejesha fomu watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ameagiza karatasi za kupigia kura zianze kutengenezwa zikijumuisha majina yote ya kila aliyerejesha fomu hata kama mwanzo walikatwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kukosea majina ya vijijiji, mitaa na vyama.
kwahiyo mgombea binafsi ni ruksa kwa sasa nchini? Katiba imebadilishwa lini na kuruhusu wagombea binafsi?
 
IMG-20191110-WA0082.jpg
 
Unacho sema ni kweli.. watu tumejua ni kiasi gani ccm ni waovu kwa sababu sasa wameamua kuonyesha kwa uwazi makucha yao.
NDIO MANA HATA VIONGOZI WENGI WA DINI WANAMUUNGA MKONO MANA yeye ndio mpango wa Mungu. KATIBA MPYA IS COMING SOON!! AROUND THE CORNER
WENGI HAWATANIELEWA.......
 
Hakuna mpumbavu atakaye shiriki uchaguzi huu wa kipumbavu.

Jambo la busara ni kufuta wananchi wachukue form upya.
Ila niseme wazi Mh Rais JPM anaiyumbisha sana nchi hii....hivi kwa nini hatulii wakati wa maamuzi.
Ila kwa upinzani huu wa Tanzania wanaweza wakashiriki kweli uchaguzi .
CCM wanawavizia kwa mbele kama hawajui hahaha
 
1/wagombea wa chadema na act bado wanarejesha form licha ya viogozi wake kusema wamejitoa na tumewapokea na tutawapa fursa ya kugombea

2/Tumewapa fursa ya rufaa na wengi wameshida na tumewapa ridhaa ya kugombea

3/hakuna kuweka mpira kwapani,hakuna kuruka ukuta lazima wagombee

4/walichukua form na kulejesha wote watashiriki hiyo tarehe 24/10

State agent
Hatutaki mnatulazimisha ili iweje?
 
Back
Top Bottom