Kwanini wasitolewe wasipotimiza malengo tuliyokubaliana? Umesoma makubaliano
Sawa mkuu, vipi kuhusu kikomo cha mkataba, je? Ni kweli pia bandari zote hadi za maziwa zitakuwa chini ya DPW? Naomba msaada wako maana mimi nasikia sikia tu.
 
Uvivu wao na uwezo wao mdogo wa kufikiri na kutazama mbali ndiyo umetufikisha tulipo, they are really ceremonial leaders who never think of our future generations, wao wanaishi hand to mouth
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings".
By Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kwa nchi za wenzetu Samia angekuwa kwenye hot chair, unaingiaje mikataba mikubwa bila Bunge kupitisha. Yaani ameshasaini mikataba ndio anakuja kuleta bungeni. Na jinsi Bunge la hovyo nalo linapitisha kitu ambacho hawakujua mwanzo wake. Samia rudisha mali za Watanganyika. Sijui hili bunge la vipi? Baada ya Bunge kuisimamia serikali sasa hivi serikali inaburuza Bunge. Ni ngumu sana kumtenganisha Samia na rushwa ama bunge hili na rushwa ni ngumu sana.
 
Mpaka sasa hakuna aliyetaja muda wa mkataba wala tutakachoingiza
 
Amezungumzia kuhusu duration ya mkataba terms and conditions? Hayo ndio ya muhimu zaid!!
 

Ungekua ushaisainiwa usingepelekwa bungeni .epuka taarifa za upotoshaji
 
Ungekua ushaisainiwa usingepelekwa bungeni .epuka taarifa za upotoshaji
Bungeni umepelekwa kufanyiwa ratification. Ili uendane na Sheria za ndani Kama ambavyo mkataba ulitaka. Kulikua na kipengele ukisainiwa uende bungeni ili kuondoa mkinzano na sheria za ndani

Ina maana hata bunge hukufatilia?
 
Ni vyema angekaa kimya.... ingekuwa afadhali kidogo kuliko kuongea....

Credibility yake itashuka saana kwenye hili......

Nadhani hayuko kwenye ile circle ya wauzaji.....
Ila amelazimika kuongea hivyo...

Coz ndivyo alipangiwa/alichotakiwa akiongee kwa nafasi yake...

Sidhani kama Kwa dhati ya moyo wake anaafiki ama yuko nyuma ya hili swala....

Ila kwa uzito wa cheo chake....

Hicho ndicho alipangiwa aseme....!

Believe me! hataongea tena zaidi ya hapo! Ili kulinda hadhi ya cheo chake.....asije kutia taharuki wananchi...

Majaliwa ni kama Samaki....

Samaki ana mengi ya kusema.....Ila amekabwa/amezungukwa na Maji.....tena Maji ya shingo!.....
 
PM asijivue nguo kujibebesha aibu za wengine, wacha kila mjinga aubebe ujinga wake.

Mkataba usio na ukomo unaompa mwarabu mamlaka ya kujitawala ndani ya ardhi yetu ni matusi, ni matusi mazito sio kwa kizazi chetu pekee, bali hata kizazi kijacho.
Jinga ww
 
Ahhahh, tahila kweli wewe,
 
Kwani we una mwekezaji mzuri zaidi unayemjua tofauti na huyu? Kama unaye mlete. Serikali at the first place imemuona yeye. Sasa muwege na akili walau siku moja moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…