Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

Tafuta kazi ya kufanya mkuu
 
Jamaa ni mbabe sana. Kwa kweli ametukomesha...yaani sina hamu naye kabisa. Kule kavuruga vuruga hata Hezbollah hoi kwa sasa. Irani haina hamu kabisa... Wameufyata amewatia ulemavu kwenye kutengeneza silaha. Yaani huyu jamaa ni mtata sana.
Hezbollah wameingia makubaliano ya kusitisha vita baada ya Hezbollah kuhamisha wakazi wote wa north Israel kwa kuwashambulia na kupiga makazi Yao, Iran Bado ana operation true promise 3 kama unavojua operation true promise 1 na 2 zote zilipigwa kwa mafanikio makubwa sana, Yemen nae anamwaga moto Bado hajasitisha mapigano na Israel, Hamas Gaza Bado wanapambana licha kuwa Israel amewaua raia wengi zaidi ya elfu 40 lakini haijasaidia kumaliza vita . Mapambano Bado yanaendelea hii vita Israel hajashinda na hatashinda lazima waingie makubaliano tu.
 
Tezi dume ni ugonjwa gan ndo busha au ndo nini?
Samahan kwa usumbufu
 
Hata akifa kwa Israel inaitwa kata mti panda mti. Anatoka Neta-nyau anakuja Neta-chui. Na mapigo kwa terrorist yanaendelea mara dufu.
 
Kwaiyo kipimo ndio kilekile au kuna tofaut manake mtu kashashika kinyeo chake au upimaji upo fotaut??
 
Iran hamna kitu. Israel washenzi walituma mademu kwenda kufanya uharibifu mle ndani mpaka leo Iran hajajibu ndo alishindwa hata msaidia ndugu yetu Assad. The same Hizbullah hana silaha kwa sasa za maana. Israel amevuruga vuruga kote huko huyu mshenzi hawana hamu kabisa na huyu Netanyau ndo maana kwa sasa imebaki kumwombea tu afe... Mayahudi wameshinda na wamemwondoa Assad Syria. Ushindi mkubwa sana kwao. Iran wameufyata mpaka sasa.
 
Huyu kaliwa kichwa Leo huko Gaza vita Bado inaendelea.
 
Huenda Waziri Mkuu wa Israel bwana Benjamin Netanyahu Yuko kwenye Hali ya kiwewe Cha akili Kutokana na Kuzorota Kwa Afya yake.

Bwana huyo ana ugonjwa mkubwa wa moyo kiasi Cha kutegemea pacemaker (kibetri Cha kuchaji moyo).

On top of that bwana Netanyahu ana shida ya busha/ngiri au hernia au mshipa vinavyomtatiza Afya yake.

Kana kwamba hazitoshi Jamaa huyo katili anatakiwa kwenda kufanyiwa upasuaji wa tezi dume na pia amekuwa anaugua ugua mara Kwa mara.

Kwa Hali hii ya kiafya ya huyo Jamaa bila shaka ana kiwewe Cha akili ndio maana maamuzi yake anayoagiza ya kuua Wapalestina yanatokana na tatizo la kiakili linalosababishwa na Haki ya Afya yake ya mwili kuzorota kiasi Cha kukata tamaa ndio maana hathamini maisha ya wengine.

View: https://www.instagram.com/p/DEKunxxNOox/?igsh=ZmJ3Y21nZTE2d2Jz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…