Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Leo serikali imetuweza nilitaka nidownload vpn imegoma kabisa nani ana ujuzi huku bukoba mitandao ya kijamii haifanyi kazi.
 
Wakati BAVICHA wamelala na wako bize mitandaoni, mie na chama langu ndio yunakaribia sasa zamu yetu kuchinja mtu. So excited, ni nshaaaaaaaaaaa, shingo kule!
 
Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Vionjo tu. Kule kwenye kisanduku uko na wapiga kura? Jifariji
 
Nimepiga kura yangu kwa ajili ya Uhuru Haki na Maendeleo ya Watu.
 
Alielekeza yeye awe wa kwanza lkn hakasahau kuelekeza Lissu awe wa ngapi...
Mwishoe, ikaamuliwa Lissu awe mwisho.
Sijui walijikotoga vp hapa
Walivomuweka wa mwisho wamemrahisishia pia kuonekana
 
Kuna mzee tumepanda nae hice hapa kavaa jezi yake ya kijani na kofia kabisa,sasa sidhani kama anajua leo haitakiwi.
Wazee wa CCM akili hawanaga kabisa ila sasa utashangaa mtu kama huyo bado akaruhusiwa kupiga kura lakini angekuwa ni mtu aliyevaa jezi za chama kingine wala kituoni asingeingia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…