Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Ni Yeye 2020. Mtashangaa. Ubelgiji so mlimpeleka kwa Ile failed assassination. Mungu akimponya ili atukomboe. Angalao tuone tena Uhuru, haki ya kuishi, na Maendeleo ya watu wote na so mafungu eti mikoa isiyokuchagua unaitenga. Wanaokukosoa unawataka wakawa ailu kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi. Haya maisha ya Mate so ni lazima us fine mwisho sasa.
Yaani kila mtu anaishi kwa hofu. Vyombo vya habari Yaani kila mtu.
Leo unafunga mawasiliano muhimu nchi nzima. Hii ndiyo hasira kabisa na itampunguzia kura leo.