Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Mzee kulalamika hakubadilishi kitu kwa yeyeto alieumizwa na hilo la LISU kuwekwa Chini hataka kama wangeweka nyuma ya karatasi tunamfuata huko huko
 
Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Ni Yeye 2020. Mtashangaa. Ubelgiji so mlimpeleka kwa Ile failed assassination. Mungu akimponya ili atukomboe. Angalao tuone tena Uhuru, haki ya kuishi, na Maendeleo ya watu wote na so mafungu eti mikoa isiyokuchagua unaitenga. Wanaokukosoa unawataka wakawa ailu kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi. Haya maisha ya Mate so ni lazima us fine mwisho sasa.

Yaani kila mtu anaishi kwa hofu. Vyombo vya habari Yaani kila mtu.

Leo unafunga mawasiliano muhimu nchi nzima. Hii ndiyo hasira kabisa na itampunguzia kura leo.
 
Haya nendeni mkapige kura sasa then mrudi sio tumeongea wee kumng’oa dikteta jiwe alafu siku yenyewe kura hampigi. Mi nimeshangaa familia nzima wananiambia hawapigi sababu mshindi ashapangwa nikawaambia acheni ujinga, watanzania ambao wanakaa bila kupiga kura huku uwezo wanao wasije hata kulaumu wanachofanyiwa na hili.
Huu ni ujinga wa watz wengi
 
Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
 
Mzee huyu aliona mbali. HAPO ALIKUWA ANAONYA WATANZANIA KUTOTII AMRI ZA WANA HARAKATI WANAOHAMASISHA VURUGU NA MAANDAMANO KAMA LISSU NA MAALIM.
Utakuwa taahira kama li mwenyekiti lenu!
 
Nashukuru sana Mungu kwa siku hii ya leo.

Nimefika kituo cha kupiga kura tangu saa 9:15 alfajiri, hali ni shwari kabisa mahala nilipo na mvua inapiga kwa mbali.

Ile siku imewadia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hata mimi Nimeona Baraka hizo, Rais tunaemtaka amepatikana
 
Nashukuru sana Mungu kwa siku hii ya leo.

Nimefika kituo cha kupiga kura tangu saa 9:15 alfajiri, hali ni shwari kabisa mahala nilipo na mvua inapiga kwa mbali.

Ile siku imewadia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hata mimi Nimeona Baraka hizo, Rais tunaemtaka amepatikana
 
Magufuli chinja chinja hatumtaki, kura kwa Lisu.

Acha ushari . Ondoa chuki moyoni mwako ubaki na upendo, ni maagizo ya Mungu.

Hapa nilipo nimepiga kura wa kwanza kabisa, basi nakuapia mbele ya Mungu huyu Wakala wa chadema anaulizwa kupiga kura anasema hajajiandikisha. Sijui mtashindaje uchaguzi.
 
Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Hiyo simu ya kutumia kwenye kituo umeitoa wap acha kudanganya watu
 
Wandugu tukapige kura kwa wingi. Tuvunje muungano Watanganyika tunanyonywa sana, tunaonewa sana , tunahudumia sana. Tumechoka. Muungano basi hivyo visiwa vikabidhiwe kwa mfalme Oman au Dubai sijui. Our hands are tied! Enough is enough.
Mpinzani gani ww mwenye chuki na ujinga ZANZIBAR ni Nchi huru kama ilivyokua Tanganyika au na nyinyi mkitoka ktk Muungano mtaenda kuungana na Uengereza?
By the way nyinyi ndio mnaofaidika na Muungano huu wa kunyonyaji jiulize kwa nini mko radhi mtuue kila siku lkn muendelee kututawala?
 
Back
Top Bottom