moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Ningelijua mapema haya yanatokea ningedaunilodi VPN mapema.Hapana ndugu, napost toka dumiani Ecpress VPN.
Nipo Migo nimeita Ubber inakuja toka Amsterdam!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningelijua mapema haya yanatokea ningedaunilodi VPN mapema.Hapana ndugu, napost toka dumiani Ecpress VPN.
Nipo Migo nimeita Ubber inakuja toka Amsterdam!
Mzee kulalamika hakubadilishi kitu kwa yeyeto alieumizwa na hilo la LISU kuwekwa Chini hataka kama wangeweka nyuma ya karatasi tunamfuata huko hukoMwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Ni Yeye 2020. Mtashangaa. Ubelgiji so mlimpeleka kwa Ile failed assassination. Mungu akimponya ili atukomboe. Angalao tuone tena Uhuru, haki ya kuishi, na Maendeleo ya watu wote na so mafungu eti mikoa isiyokuchagua unaitenga. Wanaokukosoa unawataka wakawa ailu kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi. Haya maisha ya Mate so ni lazima us fine mwisho sasa.Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Huu ni ujinga wa watz wengiHaya nendeni mkapige kura sasa then mrudi sio tumeongea wee kumng’oa dikteta jiwe alafu siku yenyewe kura hampigi. Mi nimeshangaa familia nzima wananiambia hawapigi sababu mshindi ashapangwa nikawaambia acheni ujinga, watanzania ambao wanakaa bila kupiga kura huku uwezo wanao wasije hata kulaumu wanachofanyiwa na hili.
ningelijua mapema haya yanatokea ningedaunilodi VPN mapema
Utakuwa taahira kama li mwenyekiti lenu!Mzee huyu aliona mbali. HAPO ALIKUWA ANAONYA WATANZANIA KUTOTII AMRI ZA WANA HARAKATI WANAOHAMASISHA VURUGU NA MAANDAMANO KAMA LISSU NA MAALIM.
Hata mimi Nimeona Baraka hizo, Rais tunaemtaka amepatikanaNashukuru sana Mungu kwa siku hii ya leo.
Nimefika kituo cha kupiga kura tangu saa 9:15 alfajiri, hali ni shwari kabisa mahala nilipo na mvua inapiga kwa mbali.
Ile siku imewadia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hata mimi Nimeona Baraka hizo, Rais tunaemtaka amepatikanaNashukuru sana Mungu kwa siku hii ya leo.
Nimefika kituo cha kupiga kura tangu saa 9:15 alfajiri, hali ni shwari kabisa mahala nilipo na mvua inapiga kwa mbali.
Ile siku imewadia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Muda wa uchaguzi huu, haya ya chezea Dada wa Mdada achana nayo. Lissu ndiyo habri ya tanzania, tujikite kwenda kupiga kuraChezea Dada la mdada wee
Magufuli chinja chinja hatumtaki, kura kwa Lisu.
Hiyo simu ya kutumia kwenye kituo umeitoa wap acha kudanganya watuMimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
"Wa kwanza atakuwa wa mwisho, na wa mwisho atakuwa wa kwanza". Neno la Mungu la sema.Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Nawezaje ku hide post kama hii?. Please mwenye kujuaImeisha hiyoView attachment 1614260
Magu again
Wanaenda wote sijaacha mtu hata moja, jiwe lazima ang'oke mwaka huu miaka 59 ni mingi mnoWahamasishe tu waende mkuu, kura zao ni za muhim sana.
Mpinzani gani ww mwenye chuki na ujinga ZANZIBAR ni Nchi huru kama ilivyokua Tanganyika au na nyinyi mkitoka ktk Muungano mtaenda kuungana na Uengereza?Wandugu tukapige kura kwa wingi. Tuvunje muungano Watanganyika tunanyonywa sana, tunaonewa sana , tunahudumia sana. Tumechoka. Muungano basi hivyo visiwa vikabidhiwe kwa mfalme Oman au Dubai sijui. Our hands are tied! Enough is enough.