storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Lugha ngumu hii#Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar: Is there any water holding evidence on this pitfall allegations? What is well understood by a score of multitude who voluntarily turned up at the polling station is that the CDM MP contestant blatantly accused someone spotted carrying a bag suspected being stuffed with ballot papers and the law enforcement team was notified who timely responded to the call out. The matter handled by the relevant instrument therefore is vital are reserved with their responsibility to accomplish the probe rather than shouting rumors which are yet to be proven.
Duh havijaisha, vipo sehemu kwaajili ya kazi ya kujazia.Kwenye Vituo Vingi Jimbo La Hai, Vitabu Vya Kupiga Kura Za Urais Vimeisha. Watu Wanalazimika Kumpigia Mbunge Na Diwani Tu Bila Kupiga Kura Za Urais.
Ni Ajabu Kwanini Vituo Vimepewa Kitabu Kimoja Tu Cha Kura Za Urais Wakati NEC Wanajua Idadi Kamili Ya Wapiga Kura Kila Kituo!
Na bila shaka utakuwa na kumbukumbu ya watu hao "makatili wanaoshabikia magufuli"; utawasahauje watu ka a Bashite, au hata Jingalao, na "wenye njaa"!We use JF as a learning platform! Siyo lazima kuwakumbuka uliojibizana nao na ulichojibizana nao, lakini kuna kitu utajifunza! Mfano, nimejifunza kuwa tunao watanzania makatili! Mfano, ukiona mtu anashabikia Magufulli anasahau atrocities ambazo nchi hii imepitia kipindi cha miaka 5, unajua kabisa kuwa kumbe tuna watu makatili usivyofikiria!
Endelea Kuota hivyo HivyoTunashukuru zoezi zima leo limewadia mbali na mawaa yanayoendelea kila mmoja kati ya vyama maarufu CCM na CDM kila mmoja akivutia kwake kuwa ataibuka kidedea...
Nafikili hapa ndo mchezo unaenda kuwa mgum,maana huu ni ushaidi tosha kwamba zipo Kura za wizi, NEC tokeni hadhalani mjibu, Nini kinatokea mpaka watu wanakamata Kura ambazo tiyari zimepigwa.Majizi yanasema yanakubalika halafu yana kura zilizopigwa tayari na wapigaji hawajulikani
Hiyo haiwezi kukosa ndio cha maanaSijalemba yani sijahangaika kusoma Kwingine
Nimemuona Jiwe nika tia Tick ya Maana sana Nadhani NEC wataniita Kuwa mtia tick bora Tanzania bara
Sahivi kuna Maandalizi ya Tafrija Fupi ya kupokea ushindi wa JPM
Kila mtu anaenda kupiga kura kwa mudawake, weukiondoka wengine wanakuja nahutajua sasaivi wapo wangapi kituoni.Fanya hivi kila kituo kina wapiga Kura 400-500 kwa mujibu wa tume. Tuchukulie wako 200. Kama kila mmoja kama atahudumiwa kwa dakika 3, inahitajika masaa 10 wote 200 ndio wamalize kupiga kura. Pita kwenye zaidi ya 75% ya vituo vya wapiga kura, wasimamizi wa vituo wanapiga story na mpiga kura anakuja mmoja mmoja. Ni hivi idadi ya wapiga kura 29m+ ni ya kupika, mbali ya kuwa ni ya kupika, watu pia wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Ndugu kwanini upoteze muda wako wa kusimama
kwenye foleni halafu umchague mtu ambaye
unajua kabisa hashindi!
Magufuli5tena
Mapemaaa,asubuhi kabisaHalima Mdee kwisha habari yake.
Jimbo la kwanza kurudi CCM ni Kawe.
Mkuu sio sawa kimtoa mtu akili wakati anapo tumia hakiyake ya kuchagua kiongozi anae mtaka, situnasemaga haki huinua taifa ama nihakigani inayo zungumzwa.Ungekuwa na akili timamu usingemchagua huyu fedhuli atuongoze mamilioni ya Watanzania.
Haijalishi uko katika level gani ya maisha
dah!number ya ID inaandikwa kwenye karatasi ya wagombea then wanasema kura ni siri yako
,seriously!!!?
Kila mtu anaenda kupiga kura kwa mudawake, weukiondoka wengine wanakuja nahutajua sasaivi wapo wangapi kituoni.
Na vituo vingi vina sehemu zaidi ya mbili za kukagua vitambulisho majina na mwisho unapigakura na kuondoka zako.
Sasa kwenye hizo dakia 3 unazotolea mfano kama kwenye kituo nilicho pigia mimi unaongelea watu 9 wanakuwa wamesha piga kura na kuondoka zao.
Hapo sasa foleni itaanzaje.
Alafu kusema watu wamesusa eti kupiga kura niutoto, huko nikutokujielewa kwao.
Hata ivyo, usipo chagua mtu wa kukuongoza watu wengine watakuchagulia kiongozi na huna sababu ya kulalamika mbele ya safari.
Ukisusa, sisi twala[emoji2957]Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowassa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list.
Kiuhalisia hali imekua tofauti na mwaka 2015 hasa katika jiji la Dar es salaam , nakumbuka mwaka 2015 nilenda kituoni nikakuta misururu mirefu ya watu wakiwa kwenye foleni zaidi ya moja wakisubiri kupiga kura ,
Yaani leo nimeenda kituoni kwangu ambapo ndipo hapo hapo nilipopigia kura 2015 yaani hakuna watu kabisa nimefika na kupiga kura na kuondoka na hakuna hata MTU yeyote aliyekua ananifuata nyuma yaani wasimamizi na mawakala wanapiga story tu hiyo naongelea kituoni kwangu , baada ya kupiga kura niakenda zangu kariakoo nikakuta hali ni ile ile vituoni hakuna watu kabisa , sijui ndio watu wamekata tamaa na kupiga kura kabisa,
Sasa sijajua Kama na mikoani hali ni hii hii au vip huko mlipo hali ipoje .
Mimi na Queen Sendiga tu