Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Kwa hisani ya wasio na vpn
CCM sasa ni dhahiri imechokwa na kila mtanzania wakiwemo wanaccm wenyewe.
Wapoga kura wa ccm wamemtupa mgombea urais wao na kuamua kutafuta Uhuru, Haki na Maendeleo.
View attachment 1614657
Hahaha CCM story zenu hizo kila mwaka, huku mnatuibia.Acha ushari . Ondoa chuki moyoni mwako ubaki na upendo, ni maagizo ya Mungu.
Hapa nilipo nimepiga kura wa kwanza kabisa, basi nakuapia mbele ya Mungu huyu Wakala wa chadema anaulizwa kupiga kura anasema hajajiandikisha. Sijui mtashindaje uchaguzi.
Huoni kama hiyo ni editing? Kipande cha kura ya lissu kimechomekwa?
Pamoja mkuuthnk you dear[emoji173]️ungekuwa karibu ningekupa zawadi[emoji18]manake mimi mpkaa vpn imenigomeaa leo
Sio uchaguzi ndio maana wamezima mitandao.Fanya hivi kila kituo kina wapiga Kura 400-500 kwa mujibu wa tume. Tuchukulie wako 200. Kama kila mmoja kama atahudumiwa kwa dakika 3, inahitajika masaa 10 wote 200 ndio wamalize kupiga kura. Pita kwenye zaidi ya 75% ya vituo vya wapiga kura, wasimamizi wa vituo wanapiga story na mpiga kura anakuja mmoja mmoja. Ni hivi idadi ya wapiga kura 29m+ ni ya kupika, mbali ya kuwa ni ya kupika, watu pia wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Ujinga huu-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu