TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Unauhakika gani kuwa hayo makaratasi siyo mpango wa wale waliokwisha kutambua watashindwa hivyo wanafanya hivyo ili ionekane uchaguzi una kasoro!? Shituka/Stuka, Mkuu. Watu wanatafuta mahali pa kuficha aibu!Makaratasi ya kura yamezagaa mitaani kibao.aliebuni wizi wa aina hii hajui kuiba
Upewe ushaidi kwani wewe ni mahakama pimbi mkubwa weweKwa nini mnajiabisha!? Yaani unadiriki kutoa tuhuma kama hii bila ushahidi usiotiliwa shaka na unatengemea watu wenye hekima na busara zao wakuone wa maana!? Mkuu, unaonekana kituko kwa hili unalofanya na inaoneka a wazi unataka kuchafua amani ya nchi. Hili halikubaliki!
Samahani.Je,uongozi ukikosa uhalali what next,unaendelea kuwa madarakani au la?.Elimu zaidi tafadhaliLegitimacy!
Uongozi unakosa uhalali.
Google. Uwezo wangu umeishia hapo.Samahani.Je,uongozi ukikosa uhalali what next,unaendelea kuwa madarakani au la?.Elimu zaidi tafadhali
Ha ha haaaa! Hu huuuhuuu! Pole mtani, naona jiwe limekukuta gizani, Mtani. Ha ha ahaaa vumilia hivyo hivyo, mtani wangu !, Mkuu, sasa hapa JF ni mahakamani!? Hizo habari, kwa nini mzilete hapa JF tuzijadili wakati mnajua kuna sehemu zinakopatikana mahakama.Upewe ushaidi kwani wewe ni mahakama pimbi mkubwa wewe
OK.AsanteGoogle. Uwezo wangu umeishia hapo.
Mkuu, wape pole kwanza. Unawaumiza kisaikolojia maana ni watanzania wenzetu. Hata kama wanazusha!!Safi sana, je, ameumia ?
Na ninyi acheni kuleta habari zisizo na kichwa wala miguu!!! Badilikeni!Mimi nilikuwa nafikiri wewe una busara kumbe tuna tofauti na Bia yetu
Hakuna kitu kama hicho. Mlitamani sana tushindwe kufanya uchaguzi huru na haki kwa kusababisha vurugu, hivyo viunzi watanzania tumeviruka. Mpaka sasa uchaguzi unaendelea kufanyika na ni matumaini yangu utamalizika salama na matokeo yatatangazwa kwa usalama pia. Tanzania yenye amani itaendelea kushamiri na kuimarika kwa kila nyanja. Na hapo sasa ndiyo mwanzo wa kuipata Tanzania inayoJITEGEMEA kwa uhalisia.
Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania. Amina.
Ha haha haaa!!! Ni rahisi sana kuwatambua kwa lugha zenu. Hata hivyo, pole kwa kuwa 'irritated', huo ndiyo utamu wa uchungu wa ukweli. Kwa hiyo sishangai post yako hii. Jiandae mkuu, kupokea matokeo ya kweli ya uchaguzi kwa uchungu! Hatuna namna ya kukusaidia, uvumilie hivyo hivyo!Mie na Mataahira mbali mbali kabisa. Mwenye akili timamu huu uhuni wa leo hawezi kuita ni uchaguzi huru na wa haki. Kuna fuse kichwani zimefyatuka wahi mirembe. Hata kama ni mahaba not to that extent.
Walimwengu wanasoma kila unachoandika hapa!!! Baadhi wanafurahia maandishi yako kama wewe wengi sana wana " kutoa umaana". Ndiyo mambo ya kijamii mtani, ni full vituko Ha ha haaa!Naona umeanza kukata uno
Mmeisha jivika madaraka ya Mwenyezi Mungu tayari!! Halafu mnasema mnataka na kuheshimu haki ya wengine. Ficheni aibu!.... hakuna Toba itakayokubaliwa