mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kitu pekee ambacho simkubali lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Waanģalizi walikuwapo na bado wapo site, wameona wenyewe. Upinzani haujawahi kubali matokeoNaomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, Alhamis, Oktoba 29, 2020...
Mtu mmoja asiwe sababu ya wengi kuharibu maisha Yao, tutampuuza kama tulivyo wapuuza kwenye Kura!
Tanzania ni sehemu ya Edeni, ni lazima kufahamu namna nzuri ya kuendesha siasa ukiwa katika nchi nzuri kama Tanzania...
Anaenda ingiza vijana mitaaniTanzania kuna vituko!
Hakamatwi wala nini. Nafikiri kutokumkata na kutokumkamata ilikuwa ni moja ya strategy za CCM tangu arejee na ndio maana hata maandamano ya kumpokea yaliruhusiwa. Walijua wakimkamata hata kama kavunja sheria, ni kumpaisha.Sijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kbs
Surely atakamatwaSijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kbs
Ataponda serikali nasio nchi.kitu pekee ambacho simkubali lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Pole zake mmeoAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Maana ya uzalendo tafadharikitu pekee ambacho simkubali lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
akifanya hvyo sitamlaumu. ngoja tuoneAtaponda serikali nasio nchi.
DahAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?