Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Walioharibu uchaguzi ndio wametumwa ungekuwa fair uchaguzi haya yasingekuwepo
 
Updates:
Tayari ameingia ukumbini
Anasema watanzania sio watu wazuri.
Anasema atarudi kwao wiki ijayo.
Anamshukuru mume wake Robert Amsterdam kwa kumshika mkono.
Anasema hakuna wa kumshinda JPM
Anaahukuru wana habari.
Anafunga mkutano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unafikiri kuna serikali itayotoa pesa kwa Tanzania isiyo na demokrasia!
Ni vizuri sana wasipotoa misaada. Ili watanzania tutambue na tufahamu maendeleo ni matokeo ya kufanya kazi. Misaada inatweza utu bora tukope maana ni tutalipa kuliko kuendekeza misaada
 
Ni vizuri sana wasipotoa misaada. Ili watanzania tutambue na tufahamu maendeleo ni matokeo ya kufanya kazi. Misaada inatweza utu bora tukope maana ni tutalipa kuliko kuendekeza misaada
Zile pesa za mfuko ws elimu zilipokwama mlitaka kumuua Zitto ilhali nyinyi ni wachapa kazi.
 
Zile pesa za mfuko ws elimu zilipokwama mlitaka kumuua Zitto ilhali nyinyi ni wachapa kazi.
Mabadiliko ni mchakato hata uchaguzi huu tumetumia fedha zetu wenyewe. Ni vizuri Kama taifa tukajifunza kuwa wawajibikaji kwenye mambo yanayotuhusu. Yes ni ngumu sababu ya mazoea lakini ni nuru ya tunapoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…