Wewe umetumwa na nani kuwaloga majirani zakoAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Maskini Amsterdam ndoto za kuingia nchini kama chumban kwake zimefifia
Utakuwa na furaha sana kwa miaka inayofuata. Upinzani wote utakuwa out.BTW umesikia Zito Kabwe is Out!
Kwa nini masikini Amsterdam? Huyu Muzungu kavuta mpunga mrefu sana, ni Mwanasheria ambaye chadema imemlipa kwa kutumia ruzuku yetu, hivyo yeye hana shida hiyo ndiyo kazi yake, ...
Mnangoja nini kutangaza CCM imeshinda nchi nzima!BTW umesikia Zito Kabwe is Out!
Najiuliza tundu atamlipa nini kwa huyu jamaa mana nchi ameshaikosa.
Lazima aliwe😋 kulipa gharama na muda alioutumia amstadam kuandika mibarua mirefu vile loh!
Pamoja na huo mpunga bado angepata maslah zaidi ya hayo
Mnangoja nini kutangaza CCM imeshinda nchi nzima!
Huyo Muzungu hiyo ndiyo kazi yake analipwa kufanya anavyofanya hakuna maslahi zaidi ambayo angepata zaidi ya hela ndefu ambayo chadema wanamlipa kwa kazi anayowafanyia fedha ambayo chadema wangeweza kuiwekeza kwenye chama hapa TZ na kuwasaidia zaidi, huyu Muzungu anafanya kazi na Dunia nzima, hata wewe ukimuhitaji kesho nauna hela ya kumlipa atafanya unavyotaka, ...
Wadachi ni kama waitaliano, wana jambo lao fulani...Najiuliza tundu atamlipa nini kwa huyu jamaa mana nchi ameshaikosa.
Lazima aliwe😋 kulipa gharama na muda alioutumia amstadam kuandika mibarua mirefu vile loh!
Hongera sana. Kuna nyakati za kucheka na nyakati za kulia. Now unacheka hivyo hongera.
Sawa, vizuriNishapitia zote, nishalia sana, nishahuzunika sana hivyo kwangu hakuna jipya, lkn Zito Kabwe kupigwa chini ndicho pekee nilichokuwa nakiombea kwenye huu Uchaguzi hao wengine sijali, ...
Sawa, vizuri
Wahitimu wa shule za kata hawezi kujificha, tunawatambua kwa umediocre wenuNajiuliza tundu atamlipa nini kwa huyu jamaa mana nchi ameshaikosa.
Lazima aliwe😋 kulipa gharama na muda alioutumia amstadam kuandika mibarua mirefu vile loh!
Mkuu nimechekaMahubiri ya nani, ya hawa viongozi wa wanafki? Mimi tivii yangu itaonesha Movie na nyimbo za Wanaijeria au Wamerakani. Nchi hii imejawa wanafkii wanafkii sanaaa hatutoweza endelea pamoja na rasimali zote tulizonazo.
Hata hawa wengine wa RC sikanyagi tena, wasahau sadaka yanguMkuu nimecheka
Sio hawa matapeli kina Radhid Mauno.
Hahahhahah! Tuliwaambia humu mkawa wabishiHata Heche naye out, ni Jimbo lipi sasa limebaki kuwa ndilo la uhakika Chadema kushinda?
Nimeamini kweli, Tanzania siyo Kenya aisee