Nawaza bunge LA chama kimoja watakavyo ibaka katiba yetu.. Kuipeleka inchi shimoni
 
Watanzania tunadanganyani. Eti wapinzani wakubali mnasahau..maslahi ya inchi inajengwa na watanzania wenyewee sio wapinzani peke yake
 
Mkumbusheni tu lissu kuwa kwa Muda alioishi ulaya alijisahau kuhusu unafiki wa wabongo hivyo akajikuta anaamini upambe wa kwenye mikutano ndo uhalisia.

Na akitaka akumbuke unafiki wa Tanzania vizuri Basi mwambieni awambie waingie barabaran hah

Hana jipya huyu apime corona apande ndege arud ulaya kwake
 
Naam.

Kipigo cha mbwa. Hicho ndo wanachokipata hawa so called ‘wapinzani’.

Kwa kweli wala siwaonei huruma. Maana kinachowatokea ndicho wanachokistahili.

Labda baada ya hapa ndo tunaweza kupata upinzani wa kweli kuliko hawa waganga njaa.

Hawa watu waliugeuza huo upinzani kuwa ‘a hustle’ na kusahau kabisa malengo na madhumuni yao.

Ukiwapa ushauri wa kujenga, wanakudharau. Wanakuona wewe ni zuzu au sijui ni zwazwa.

Haya sasa, siku ya siku imefika, imepita, na yale ambayo baadhi yetu tulikuwa tukiwaonya kuwa yatatokea, yameanza kutimia.

Sasa eti wameanza kulialia.

Wanalialia nini sasa? Kwani hawakujua ambacho kingetokea?

Mimi siwaonei huruma hata kidogo.

They deserve everything that’s happening to them and then some.

Now, maybe this will be their time of reckoning.

But, with this current bunch, I don’t have faith in it.

Let me repeat myself again [I know, I sound like a broken record here but oh well]; if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.

Read and weep.
 
Nimekuwa nikijaribu kubadilisha station mara kwa mara ili kupata kile kinachoendelea ndani ya nchi, kuna matukio kama manne au matano yaliyotokea leo nje ya utangaazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Leo kulikuwa na press conference ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Antipas Tundu Lissu kuhusiana na matokeo pia Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Sharifu Hamad nae alikiwa na press conference, kuna tukio la kukamatwa kwake na vurugu zinazoendelea huko Pemba pia ila cha ajabu televison zote zipo busy na kusikiliza matokeo. Wanatunyima haki ya kujua nini kinachondelea ndani ya tanzania ukizingatia na mitandao nayo imefungwa
 
Naam.
Hawa watu waliugeuza huo upinzani kuwa ‘a hustle’ na kusahau kabisa malengo na madhumuni yao.
Ukiwapa ushauri wa kujenga, wanakudharau. Wanakuona wewe ni zuzu au sijui ni zwazwa.
.
New patriotic opposition is coming.. it is neither CHADEMA nor ACT... Save the comment
 
Mbona ameshatoa amri? Kasema andamaneni kudai haki yenu
 
Mkuu hata kale kahuruma kadogo kawupa maji ya kunywa aunako?[emoji23]
 
MUNGU hajapenda mwamba awe PM kwa Sasa [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ameshasema waingie barabarani, ila hadi sasa bilabila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…