Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Nawaza bunge LA chama kimoja watakavyo ibaka katiba yetu.. Kuipeleka inchi shimoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbusheni tu lissu kuwa kwa Muda alioishi ulaya alijisahau kuhusu unafiki wa wabongo hivyo akajikuta anaamini upambe wa kwenye mikutano ndo uhalisia.
Na akitaka akumbuke unafiki wa Tanzania vizuri Basi mwambieni awambie waingie barabaran hah
Wakuu habari,
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Hiki ndicho anachokisema (Updates)
-Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari
-Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea wa Chama cha Mapinduzi
-Msafara wangu wa Kampeni za urais ulikuwa na magari sita tu, magari mawili ya waandishi wa habari, na magari mengine manne, yakiwamo mawili ya walinzi
-Watanzania walitupokea kwa upendo mkubwa, walitupa maji, chakula mafuta
-Wakati tunaelekea ukingoni mwa kampeni, dalili zilianza kuonekana kwamba ule mwanzo mbaya wa kuengua wagombea uliendelea
-Katika sehemu nyigi za nchi hii, Wasimamizi wa uchaguzi waliweka masharti kuwa mawakala wakale viapo aidha kwa Mkuugenzi wa Uchaguzi, au sehemu zingine waliweka vituo viwili au vitatu.. hii ilitusababishia usumbufu mkubwa ambao haukuwa na sababu yoyote, wakijua vyama vya upinzani wasigekuwa na fedha ya kupeleka mawakala wote kuapishwa.
-Tume imetengeneza mazingira ya kuiba uchaguzi: ilibadilisha kanuni za uchaguzi kwa makusudi
- Wagombea wetu katika majimbo mbalimbali walishambuliwa na mapolisi, walikamatwa na kuvunjiwa silaha, ilionesha kuwa tunapambana si na serikali tu, bali na vyombo vyake vya ulinzi na usalama
- Mimi na mgombea wangu tumepigwa mabomu katika mikutano miwili, ndege yangu ilizuiliwa kuruka
-Mawakala wetu hawakuingia katika vituo vya uchaguzi kwa sababu barua zao zilikosewa kwa makusudi na wasimamizi wa uchaguzi
New patriotic opposition is coming.. it is neither CHADEMA nor ACT... Save the commentNaam.
Hawa watu waliugeuza huo upinzani kuwa ‘a hustle’ na kusahau kabisa malengo na madhumuni yao.
Ukiwapa ushauri wa kujenga, wanakudharau. Wanakuona wewe ni zuzu au sijui ni zwazwa.
.
I sure hope so....New patriotic opposition is coming.. it is neither CHADEMA nor ACT... Save the comment
Mimi toka asubuhi nashindilia glucose ili niwe na energy pindi amri ya mh. Lissu ya kuingia barabarani ikitolewa naona kimya na maneno matupu tupeni location watu tukinukishe.
Sema neno baba[emoji28] kabla hasira hazijapoa au mtangulize waziri mkuu mbowe aongoze mapamano kuelekea ikulu
Mkuu hata kale kahuruma kadogo kawupa maji ya kunywa aunako?[emoji23]Naam.
Kipigo cha mbwa. Hicho ndo wanachokipata hawa so called ‘wapinzani’.
Kwa kweli wala siwaonei huruma. Maana kinachowatokea ndicho wanachokistahili.
Labda baada ya hapa ndo tunaweza kupata upinzani wa kweli kuliko hawa waganga njaa.
Hawa watu waliugeuza huo upinzani kuwa ‘a hustle’ na kusahau kabisa malengo na madhumuni yao.
Ukiwapa ushauri wa kujenga, wanakudharau. Wanakuona wewe ni zuzu au sijui ni zwazwa.
Haya sasa, siku ya siku imefika, imepita, na yale ambayo baadhi yetu tulikuwa tukiwaonya kuwa yatatokea, yameanza kutimia.
Sasa eti wameanza kulialia.
Wanalialia nini sasa? Kwani hawakujua ambacho kingetokea?
Mimi siwaonei huruma hata kidogo.
They deserve everything that’s happening to them and then some.
Now, maybe this will be their time of reckoning.
But, with this current bunch, I don’t have faith in it.
Let me repeat myself again [I know, I sound like a broken record here but oh well]; if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
Read and weep.
Nope.Mkuu hata kale kahuruma kadogo kawupa maji ya kunywa aunako?[emoji23]
Tamko mbona lishatoka? Au mnasubiri tamko gani?Chedema toeni tamko wananchi tuko nanyi watuuwe tu
Lissu ameshatoa tamko mbona, wapenda mabadiliko wote waandamane kupinga mapungufu ya haki katika uchaguzi huu.Chedema toeni tamko wananchi tuko nanyi watuuwe tu
why? kakukosea nn zito?
Hakuna mwenye mtu mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na matokeo haya ya kihuni. New way foward is needed ASAP.
MUNGU hajapenda mwamba awe PM kwa Sasa [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi toka asubuhi nashindilia glucose ili niwe na energy pindi amri ya mh. Lissu ya kuingia barabarani ikitolewa naona kimya na maneno matupu tupeni location watu tukinukishe.
Sema neno baba[emoji28] kabla hasira hazijapoa au mtangulize waziri mkuu mbowe aongoze mapamano kuelekea ikulu
Mkumbusheni tu lissu kuwa kwa Muda alioishi ulaya alijisahau kuhusu unafiki wa wabongo hivyo akajikuta anaamini upambe wa kwenye mikutano ndo uhalisia.
Na akitaka akumbuke unafiki wa Tanzania vizuri Basi mwambieni awambie waingie barabarani kama atawaona.
ila kakuzid kila kituMlisema mnakinukisha vipi? Mpo wapi nijiunge na nyie??
Iki ndio kilichobakia matamko ya matumaini kwa wafuasi wao.Tamko mbona lishatoka? Au mnasubiri tamko gani?
View attachment 1615419