Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Kwa Tanzania bara huyu atakua mbunge pekee wa upinzani. Ataunda kambi rasmi ya upinzani na wabunge wawili watatu kutoka Pemba biashara inaisha. Ila msimamizi wa uchaguzi wa hilo jimbo kuanzia Desemba atafute kazi nyingine ya kufanya
Mbona umekuwa soft hivyo..huyo muache alie mpaka akili imkae sawa...mabeberu hawana nafasi.Jikaze kiume Godfrey Vice dunia ndivyo ilivyo ajaliwaye ndio apatae
Tuendelee kujenga familia zetu na nchi yetu. Maendeleo Hayana vyama
Hizo feki ulizipiga wewe? hamko serious, mawakala tu mmeshindwa kuweka afu bado mnajidanganya kwamba mnawatu...kazi za JPM tumezielewa, hakuna wapinzani nchini ila kunavibaraka vya mabeberu, refer waloyafanya mitandaoni wakati wa corona.Sio kweli.
Kura feki zimewabeba ccm.
Criticism sio lazima ndani ya bunge,Unaweza kupingwa si kwa nia ya kubeza Bali Kama (provocation) ili ufanye vizuri zaidi.
Maana unaweza dhani unafanya VIZURI LAKINI ISIWE VIZURI SANA.
Hivyo wakiwepo watu wa kuku-challange itakusaidia kufikia hatua ya kufanya kwa UZURI ZAIDI.
Nyie jamaa bana, yani nyomi likiwa kwenu fresh, ila likienda kwa jirani hawana kadi ya kura!Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
Kura zipo lakini mwenye nguvu mpishe apite. Waswahili walikua na maana.Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Well noted.Mimi kama mwana chama mpya wa CCM nina mpongeza kiongozi wa malaika na chama ombi langu kwa kiongozi wa malaika na kiongozi wa chama na nchi ninaomba uzima kabisa internet haina mchango kwa wazalendo
Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Tulisema humu watu hawajai kwenye mikutano yake kwa kumpa kura ila ni kujua ni yeye.
Hata kama una huzuni na kushindwa kwa kishindo. Ndio uandike "MBOYE" instead of "MBOWE" kweli??Acha kutafuta sababu isiyo kwepo, wakati wa Slaa uongozi wa Mkapa na kikwete angalau ulikuwa na utu na kujali demokrasi na hiyo ndiyo unaona kama walikuwa makini. Uongozi wa sasa hauna utu Umejaa majivuni usiojali utu wa watu wake! kiongozi mkuu anajiona yeye ndiye pekee na hakuna kama yeye. Mtu kama MBOYE ni mangapi yamempata? angekuwa legelege kitambo sana angeunga juhudi.
Nimekuwa nikijaribu kubadilisha station mara kwa mara ili kupata kile kinachoendelea ndani ya nchi, kuna matukio kama manne au matano yaliyotokea leo nje ya utangaazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Leo kulikuwa na press conference ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Antipas Tundu Lissu kuhusiana na matokeo pia Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Sharifu Hamad nae alikiwa na press conference, kuna tukio la kukamatwa kwake na vurugu zinazoendelea huko Pemba pia ila cha ajabu televison zote zipo busy na kusikiliza matokeo. Wanatunyima haki ya kujua nini kinachondelea ndani ya tanzania ukizingatia na mitandao nayo imefungwa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Na ukizijumlisha kwa pamoja jumla inakua ngapi mkuu