Utawawajibisha wewe. Mimi na wake wote ambao ni dependant wangu kuanzia kijijini kwangu na kwa mke wangu leo tuna letu jambo. Mambo ni kimya kimya tu.Twendeni tukawaaibishe Mabeberu, wajue Tanzania si lelemama.
Kiimani wa kwanza huwa wa mwishoEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Nikikumbuka tu hayo na mengine ni lazima nikapige kura. Nina msururu wa watu kila kona leo wananiunga mkono. Wameshaamka wako vituoni.yaani huyu ndugu yako akipata kura chini ya 90% atakuwa kafeli vibaya, uchaguzi huu kawekea upinzani hujuma kibao ukiacha ile kubebwa ya moja kwa moja kikatiba!.
mabango yote nchi nzima, media zote, kufungia wenzie wasifanye mikutano kwa kivuli cha kamati ya maadili, mamlaka ya anga kuzuia TL kufanya baadhi ya mikutano, kivuko "kuharibika" kisa TL ashindwe kwenda mkutanoni visiwani ziwa victoria nk nk
Time for solidarity Uwoga Ni dhambiMwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Ni Yeye 2020. Vurugu ni zile za kuteka watu, kuua, kupoteza, kupiga risasi, kujenga hofu jamii nzima. Sogea pembeni wewe inaekekea unakula huko kwa DictatorMzee huyu aliona mbali. HAPO ALIKUWA ANAONYA WATANZANIA KUTOTII AMRI ZA WANA HARAKATI WANAOHAMASISHA VURUGU NA MAANDAMANO KAMA LISSU NA MAALIM.
Ni rahisi mnoBora wangemuweka Lissu katikati ndio ingewachanya watu, walivyomuweka mwisho ndio wameturahisishia, huangaiki kumtafuta, unaenda mwisho moja kwa moja una tick
Duh kweli we kiboko, Mara hii ushahama CCM na kuhamia Chadema, chezea vidole viwili weye✌️Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana.
Mgumu kweli kuelewa ndugu yangu.Kwa hiyo hata ukimaliza kunya huwa Mungu unamwambia aje akutawaze?! Mungu amekupa utashi wa kuamua mabaya na mazuri. Mabaya ya Jiwe yanajulikana usisubiri Mungu akuonyeshe. Usiwe kipofu hivyo ukaambukiza upofu wengine.
Chezea Dada la mdada weeSky mwenzangu, nimepitwa, iko wapi hiyo petition? nami ni sign
Hapa umafanya nini wewe Choko? Si mtandao huu.Nampongeza sana Magufuli kwa kuzima mitandao, kuna watu wangeshinda katika mitandao badala ya kwenda kupiga kura. Huku katika mitandao hakuna vituo vya kupiga kura wote leo tukapige kura hakuna kisingizio na wale wataalam wa Twitter nadhani sindano imewachoma.
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia kuhusu mitandao ya kijamii, narudia kumpongea mzee kwa kuweka MAKUFULI katika mitandao [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Hebu Inuka ukapige kura wewe acha mambo ya ajabu Lowassa alikuwa msakatonge tu.Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Mpeni Mafuwe kura. Tumpime kwa miaka hii mitano tuoneNipo Lyamungo sinde, Machame hapa kituoni, Mtifuano ni F. A. Mbowe na Saasicha Mafue. Nafikiri mtifuna huu mpaka saa 6 mchana utakuwa umefahamika muelekeo wake.
Daah kwa hiyo tutakuwa na raisi Queen si mchezo!Mimi na Queen sendiga tu
Umeonaee,.... hata CHADEMA wangeiweka ya tatu kutoka mwisho leo lazima Jiwe Ang'oke tu.Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...