Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Twendeni tukawaaibishe Mabeberu, wajue Tanzania si lelemama.
Utawawajibisha wewe. Mimi na wake wote ambao ni dependant wangu kuanzia kijijini kwangu na kwa mke wangu leo tuna letu jambo. Mambo ni kimya kimya tu.
 
yaani huyu ndugu yako akipata kura chini ya 90% atakuwa kafeli vibaya, uchaguzi huu kawekea upinzani hujuma kibao ukiacha ile kubebwa ya moja kwa moja kikatiba!.
mabango yote nchi nzima, media zote, kufungia wenzie wasifanye mikutano kwa kivuli cha kamati ya maadili, mamlaka ya anga kuzuia TL kufanya baadhi ya mikutano, kivuko "kuharibika" kisa TL ashindwe kwenda mkutanoni visiwani ziwa victoria nk nk
Nikikumbuka tu hayo na mengine ni lazima nikapige kura. Nina msururu wa watu kila kona leo wananiunga mkono. Wameshaamka wako vituoni.
 
Mzee huyu aliona mbali. HAPO ALIKUWA ANAONYA WATANZANIA KUTOTII AMRI ZA WANA HARAKATI WANAOHAMASISHA VURUGU NA MAANDAMANO KAMA LISSU NA MAALIM.
Ni Yeye 2020. Vurugu ni zile za kuteka watu, kuua, kupoteza, kupiga risasi, kujenga hofu jamii nzima. Sogea pembeni wewe inaekekea unakula huko kwa Dictator
 
Sijui Jf itakua hewani, maana Jana jioni nilikua siipati kabisa.
 
Nampongeza sana Magufuli kwa kuzima mitandao, kuna watu wangeshinda katika mitandao badala ya kwenda kupiga kura. Huku katika mitandao hakuna vituo vya kupiga kura wote leo tukapige kura hakuna kisingizio na wale wataalam wa Twitter nadhani sindano imewachoma.

Kuna siri kubwa nyuma ya pazia kuhusu mitandao ya kijamii, narudia kumpongea mzee kwa kuweka MAKUFULI katika mitandao [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Hapa umafanya nini wewe Choko? Si mtandao huu.
 
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Hebu Inuka ukapige kura wewe acha mambo ya ajabu Lowassa alikuwa msakatonge tu.
 
Imeisha hiyo

20201028_072007.jpg
 
Nipo Lyamungo sinde, Machame hapa kituoni, Mtifuano ni F. A. Mbowe na Saasicha Mafue. Nafikiri mtifuna huu mpaka saa 6 mchana utakuwa umefahamika muelekeo wake.
Mpeni Mafuwe kura. Tumpime kwa miaka hii mitano tuone
 
Back
Top Bottom