gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Ya ngurumo ama ya fichua Tanzania na ua kigogo?? Mambo ni mengi sana mwaka huuTumesha sign petition ya Ngurumo, dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ngurumo ama ya fichua Tanzania na ua kigogo?? Mambo ni mengi sana mwaka huuTumesha sign petition ya Ngurumo, dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Eti sababu ni kwamba Magufuli alirudisha fomu wa kwanza na Lissu wa mwisho. Utetezi usio na mashiko kabisa.
We lisukuma huna akili umejaa ukabila tu....usingekua ulaya ungekua lichawiEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
We ulienda kuvizia wapiga kura uwakabe kabali!! Kura gani ulienda kupiga saa tisa za usiku? Kwa nini tusiamini kuwa wewe ni kibaka?Nashukuru sana Mungu kwa siku hii ya leo.
Nimefika kituo cha kupiga kura tangu saa 9:15 alfajiri, hali ni shwari kabisa mahala nilipo na mvua inapiga kwa mbali.
Ile siku imewadia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Umeshapita vituo vyote?.Umati wa vijana waliokuwa wakifurika mikutano ya Tundu Lisu haupo kwenye vituo vya kupiga kura
Wamejaa watu wazima tu wanaume na wanawake .
Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Bila shaka huyu ni first timer kwa kumuamgalia tu, kwa nini hawamuelekezi wanamuangalia tu?
Tanzania ni nchi ya maajabu mengi, ikiwemo mlima mrefu sana na mbuga za wanyama wa kila aina; sasa tutaongeza ajabu jingine la watu wasiokuwa na majuto juu ya lolote.Mimi tayari Niko kituoni. SAA 9:45.
SAA ya Ukombozi ni sasa, majuto ni Mjukuu, usifanye makosa
Nimewasiliana na mikoa minne ,Dodoma,mwanza,Mbeya na ShinyangaUmeshapita vituo vyote?.