Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuelekea uchumi wa juu, una swali lingine ? 😀we kiazi, huyo Magu wako anachukua nchi kuipeleka wapi?!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelekea uchumi wa juu, una swali lingine ? 😀we kiazi, huyo Magu wako anachukua nchi kuipeleka wapi?!.
Tumia kitambulisho cha uraiaWakuu nina shida
1.sikumbuki kituo cha kupigia kura
2.Kitambulisho kimepotea
3.Namba ya kitambulisho siikumbuki
Na ninataka kupiga kura
Huku Kilimanjaro
Huku nilikopigia Kura, nimepanga foleni na wazee miaka 45 na kwendelea
Sifahamu Kwa nini vijana mpaka muda huu hawaonekani vituoni
Utujuze, niko hapa kwenye kituo cha kupigia kura,mapema kabisa nataka niweke historia ya mpiga kura wa kwanza kabisa kufanya maamuzi machachu na magumu
ƙwani alipaswa ƙujianɗiƙisha upƴa??? ...si alianɗikisha ƙwaajili ƴa 2015 ƙwahiƴo hapo alicho taƙiwa ni ƙuhaƙiƙi tu iƙiwa jina laƙe lipo ƙwenƴe ɗaftari la mpiga ƙura then atajua na sehemu ƴa ƙupigia ƙura!!!Hakujiandikisha
Eti alikuwa wa mwisho kurudisha fomuEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Duh yani mtu anasokomeza furushi badala ya karatasi yake moja tu aliyopigia kura!!