mkwawa_ chifu
Member
- Mar 13, 2018
- 24
- 17
Raha eeehGenge la wahuni limesambaratishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha eeehGenge la wahuni limesambaratishwa.
Watanzania wengi huwa hawasomeki! Anaweza kujikuta yuko peke yake mitaani!Anaenda ingiza vijana mitaani
😁😁😊
Msilaumu media za bongo,jilaumuni nyinyi ambao hizo media wakichukua habar zenu zisizo na ushahidi pindi wanapotakiwa,mnawaacha mpaka wanafungiwa huku nyinyi mkitafuna nyama choma na bia tu.Media za kibongo hazitaripoti chochote.
Hivi yale maswali aliyoulizwwa jf alijibu?Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, Alhamis, Oktoba 29, 2020...
Sasa anakuja kutuambia nini wakati wananchi tumeamua tayari, hatukumtaka na hatufai....arudi kwao Ubelgiji kupakatwa na wazungu.Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, Alhamis, Oktoba 29, 2020. Mkutano huo utakaoanza saa 3.00 asubuhi, jijini Dar es Salaam ambapo Mhe. Lissu pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama, atazungumzia mwenendo na hali ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu, uliotawaliwa na kila aina ya uharibifu, uvurugaji na ukiukwaji mkubwa wa taratibu zinazosimamia Uchaguzi Mkuu...
Hapewi kiki. HakamatwiSurely atakamatwa
Ameumizwa akiwa anatetea maslahi ya nani? Au kwanini aliumizwa?Kitu pekee ambacho simkubali Lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Tutafika tu CCM inakotaka tufikekitu pekee ambacho simkubali lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Ha ha ha haaaaaa. Kama ni hivyo basi kazingua sanaUpdates:
Tayari ameingia ukumbini
Anasema watanzania sio watu wazuri.
Anasema atarudi kwao wiki ijayo.
Anamshukuru mume wake Robert Amsterdam kwa kumshika mkono.
Anasema hakuna wa kumshinda JPM
Anaahukuru wana habari.
Anafunga mkutano.
Mkuu huu nwandiko nimeupenda unafanyaje?Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?