Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Media za kibongo hazitaripoti chochote.
Msilaumu media za bongo,jilaumuni nyinyi ambao hizo media wakichukua habar zenu zisizo na ushahidi pindi wanapotakiwa,mnawaacha mpaka wanafungiwa huku nyinyi mkitafuna nyama choma na bia tu.

Nyinyi Ni wanafiki ndo Mana watu hawataki kuwasikia,na wakichoshwa na serkali basi wao watafanya maamuzi wenyewe Bila kupitia hizo Sacco's zenu.

Wapuuzi sana nyinyi,mnatuona mafala Sisi tumewachagua 2015 afu mnaunga jujudi kiboya boya,hamjui namna gani watu imewacost mpaka kuwapigia kura nyinyi afu mnaleta story ya kununuliwa!Nani aamini walobaki hawafiki bei?
 
Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, Alhamis, Oktoba 29, 2020...
Hivi yale maswali aliyoulizwwa jf alijibu?
 
Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, Alhamis, Oktoba 29, 2020. Mkutano huo utakaoanza saa 3.00 asubuhi, jijini Dar es Salaam ambapo Mhe. Lissu pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama, atazungumzia mwenendo na hali ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu, uliotawaliwa na kila aina ya uharibifu, uvurugaji na ukiukwaji mkubwa wa taratibu zinazosimamia Uchaguzi Mkuu...
Sasa anakuja kutuambia nini wakati wananchi tumeamua tayari, hatukumtaka na hatufai....arudi kwao Ubelgiji kupakatwa na wazungu.
 
Sema Tundu Lissu atazungumza kupitia Dar-Live Tv ivyo vyombo vya kimataifa wenye muda nae labda BBC Swahili na huko kwao wala habari za hiyo unit awarushi. Wengine ni DW swahili na VOA vinginevyo ata vyombo vya habari vya Kenya tu havina muda nae.
 
kitu pekee ambacho simkubali lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Tutafika tu CCM inakotaka tufike
 
Nani sasa wa kuingia barabarani?..aachane na huu urais wakati huu,Lissu akae atulie akamalizie matibabu ubelgiji.

Kwa walichoamua kufanya CCM ni kulipeleka Taifa shimoni,ni mawili ama tupate wapinzani bungeni kutoka CCM au turudi kwenye 'ndio mzee' ndo hapo ambapo tunaweza kupata katiba mpya ambayo itamruhusu Magufuli kuwa President for life.
 
Updates:
Tayari ameingia ukumbini
Anasema watanzania sio watu wazuri.
Anasema atarudi kwao wiki ijayo.
Anamshukuru mume wake Robert Amsterdam kwa kumshika mkono.
Anasema hakuna wa kumshinda JPM
Anaahukuru wana habari.
Anafunga mkutano.
Ha ha ha haaaaaa. Kama ni hivyo basi kazingua sana
 
Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Mkuu huu nwandiko nimeupenda unafanyaje?
 
Back
Top Bottom