Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Naliaaaa pole, naliaaa pole Sana
Naliaaa pole naliaaa pole Sana
Mimi nilidhani nimewin kuuumbe .............😁😁
 
Ila hata hivyo wameiba Sana ccm.
Kura feki mzigooo
Mimi ningekua mwanachama wa upinzani nisingekubali hiyo excuse ya wizi wa kura kwa sababu
1.Huu sio uchaguzi wa kwanza kwa wapinzani kushiriki, haiwezekani mnarudia kuongea vitu vilevile kila uchaguzi
2.Sababu ya pili aina zote za malalamiko ninazozisikia ni wazi kwamba upinzani hawana wanachama au hawana wanachama watiifu au hawajawalea wanachama wao kwenye misingi imara ya uzalendo kwa chama chao na kwa nchi yao. Mtaji wa chama ni wanachama Yaani wananchi. Kama mnasema hàohao wananchi ndio wanashiriki wizi ni wazi kabisa hamkubaliki wala hamuaminiki

Jifunzeni kwa wenzenu CCM, kwao linapokuja swala la chama wanakua familia moja mnayoongea lugha moja. Mngejua juhudi walizokua wakifanya CCM kwa zaidi ya miaka2 huku mtaani mngeachana na hizo propaganda za viongozi wenu wachumia tumbo

Wana CCM wamefanya kazi kubwa sana kutoa hamasa, kurudisha heshma ya chama chao na kuongeza idadi ya wanachama
 
Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Wewe ni hovyo sawa na utumbo wa bata. Una mawazo ya kijinga na mbaya zaidi unatumia ID ya ukweli.
 
Kwahiyo uchaguzi wa aina hii ndo umetumia gharama kiasi gani eti!.Hazitoshi kupeleka japo maji vijiji kadhaa?
 
Back
Top Bottom