MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Mimi ningekua mwanachama wa upinzani nisingekubali hiyo excuse ya wizi wa kura kwa sababuIla hata hivyo wameiba Sana ccm.
Kura feki mzigooo
Wewe ni hovyo sawa na utumbo wa bata. Una mawazo ya kijinga na mbaya zaidi unatumia ID ya ukweli.Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Uongo huo, haya matokeo wanaopost kwenye media zao sometimes huwa wanakosea
Ukweli huu hapa
View attachment 1615504
Mkuu hiyo ni typing error ya Cloud Media! kama wewe ulivyosikia vibaya.magu2016 aya sasa ☝️
Uongo huo, haya matokeo wanaopost kwenye media zao sometimes huwa wanakosea
Ukweli huu hapa
View attachment 1615504
usitake kujua totalNa ukizijumlisha kwa pamoja jumla inakua ngapi mkuu
Typing error kwenye issues nyeti kama hizi ambako pana mtuhumiwa wa ujambazi ni ukakasi mtupu.Mkuu hiyo ni typing error ya Cloud Media! kama wewe ulivyosikia vibaya.
Bila shaka hata kujua idadi si muhimu kwa maana idadi yenyewe nayo ndiyo hivyo tena.usitake kujua total
Oyeeee!! Magufuli vitendoCCM oyeee