Ni muda muafaka Bashite kurudi kuendelea na kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
[emoji23][emoji23][emoji23]iiiiiii naenda naenda kuse kuse kusema kwa ba ba baba...
Wamekula vijisenti,kura wamempa Ndugulile.
anataka kupanua hudumaKawe lini? Namsubiri Gwaji boy tuone naye ataambulia nini!!
Genta eti anawatumia Watu wa Kigamboni zawadi zao alizowaahidi..[emoji2]Kamati ya roho ya mbaya tunakutana wapiiii wapi Genta
I told u my dear!Hongera kwa Ndugulile,ile nguvu ya pesa ya Bashite nilijua atashinda .Kumbe i was wrooooooong.
Kuliko Makonda basi kama kuna kisasi bado,Magu atampitisha yule number 3.Sema anavizia kisasi cha magu kwa ndungilile kwa kupinga njia zake za kipori za kupambana na corona.
Duh....
Watu wa Kigamboni mmenifanyia kazi nzuri sana
Itakua ni aibu kubwa Magufuli kuendelea mkumbatia Makonda...
Aibu kubwaa...
Good ameishaNakumbuka kabisa ambavyo mlinihakikishia kuwa Mtu anaenda ' Kumalizwa ' kwa namna ya Kipekee kabisa na hatoamini Macho na Masikio yake nikawa ' nawabishia ' hatimaye kile kile mmekifanya. Kwa Furaha Kubwa niliyonayo kwa Kazi yenu nzuri nashindwa Kuendelea Kuandika hapa ila naomba mkubali na mpokee hizi Zawadi za Wanyama Mbuzi Watano ili mkachinje mle huko Makwenu na Familia zenu.
Hata Ubebwe vipi, utumie Vitisho gani na utumie Pesa zako za Dhuluma ila Mwenyezi Mungu akisema NO huwa anamaanisha NO mazima hasa.
Sure kwenye siasa lolote linawezekana!!!mara paaap, Makonda kashindwa na kaamua kujiunga na chadema kuwa kapeni meneja wa lisu hahahahhahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saivi atakosa hata hela ya kufany hips surgery.Cha msingi ameshindwa, na akimteua tutakua na uhakika kwamba anabebwa.
We mkuu wa mkoa kama kazi zako zilikua vizuri, utashindwaje kura za maoni..
Tangazo, nauza dawa na kukuza makalio[emoji1][emoji1]
Please wapinzani,hawa waliounga juhudi na leo wamepigwa chini kamwe wasirudi hatari sana kwa ustawi wa opposition