Ndo hivyo chaliiiiNyie wachawi aiseee mlitabirii mwanzo mwisho
Hahaha..ila watu hawampendi Makonda aiseeh.
Ila pia nwashangaa waliompa hizo kura mia na zaidi....wametumia kigezo gani?
Mtolea Temeke chaliiiiMwanri.... Chaliiiii
Makonda..... Chaliiiii
Nasari...... Chaliiiiii
Mtulia..... Chaliiiiii
VIP walinzi na gari wameshampokonya,ili aliowazulumu waanze kumdaiSasa ngoja nizime data zangu nadhan habari zimeisha.
Makonda karibu usugue bench
Kama ni hivyo kuna haja gani basi ya kupiga hizo kura?
Hao ndio wana CCM wenzio mkuu
Siha na Vunjo nani kapita?Hawa ndio walikuwa wanadaiwa wametumwa na baba,kule Siha Mwanri chali na kule Vunjo nasikia Daktari wa CRDB nae chali,hawa badala ya kulea wajukuu wanakaba hadi penalti sijui yule mwingine mzee wa TAA,TANU kule Bunda kama atakuwa amepona.
Nafikiri nimeeleweka wekeni matokeo nianze safari
Kaisharambishwa sumu!Makonda hawezi kuwa mbunge wa Kigamboni safari yake imeishia hapo
Good ameisha
Ikiwa hali ndani ya chama iko hivyo huku nje hali ingekuwaje?Kumbe PCM ndiyo hapendwi hivi!!!
Hayaa...
Sasa Makonda ni Raia wa kawaida Rasmi.
Sasa hivi ukikutana nae hata vibao unamtwanga vizuriii...
Anyooke sasa.
Dk Mollel atatengenezewa zengwe au ataahidiwa kitengo nje ya ubunge awekwe Mwanry,Magufuli ana mahaba ya utumisha na na Agrey hilo linajulikana.JIMBO LA SIHA
DR Godwin Molel =148
Agrey Mwanry =147
ππππππKweli cheo dhamana, makonda mpole kanywea.
Mc: paul...
Makonda: mimi??
Mc: Sio paul wewe, yule mwingine rudi kakae?
Makonda: sawa!!
Hunishindi mie dea, yaan acha tyuuuuhKa moyo kametulia sana looo