Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Magufuli ana nafasi kumi za kuteua wabunge,,, mtoto pendwa anaweza kuteuliwa na kupewa wizara nyeti,,, rejea kwa kina ndalichako na acksonn tulia n,k,

Pengine huu Ni mkakati tuone demokrasia ipo, pia kwenda kigamboni huwenda Ni mipango tu ! Wait and see !
 
Mkuu kwenye welevu ujue hata wajinga wapo pia
Hahaha..ila watu hawampendi Makonda aiseeh.

Ila pia nwashangaa waliompa hizo kura mia na zaidi....wametumia kigezo gani?
 
Hawa ndio walikuwa wanadaiwa wametumwa na baba,kule Siha Mwanri chali na kule Vunjo nasikia Daktari wa CRDB nae chali,hawa badala ya kulea wajukuu wanakaba hadi penalti sijui yule mwingine mzee wa TAA,TANU kule Bunda kama atakuwa amepona.
Siha na Vunjo nani kapita?
 
Daaaaaa.....naona wateule wote walikimbia ukuu wa mkoa na wilaya kwenda kutia nia wamepigwa chini kuanzia makonda...sofia mjema na agrey mwanri.
 
Naamini hawezi kukaa zaidi ya wiki hapa dar, atarudi kwao koromomije
Hayaa...
Sasa Makonda ni Raia wa kawaida Rasmi.

Sasa hivi ukikutana nae hata vibao unamtwanga vizuriii...

Anyooke sasa.
 
Kweli cheo dhamana, makonda mpole kanywea.

Mc: paul...
Makonda: mimi??
Mc: Sio paul wewe, yule mwingine rudi kakae?
Makonda: sawa!!
😂😂😂😂😂😂

Mkuu ni kweli tukio hili la kustaajabisha lilijiri!!!?!?
 
Back
Top Bottom