Uchaguzi huru ndani ya chama

Breaking News !


Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya chama cha CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kutumbuliwa kwa kilichoitwa 'tamaa' isiyokubalika ndani ya CCM Mpya Bw. Paul Christian Makonda amepata kura 122.
 
 
Cdm hapa inatoka wapi au hujui ratiba?
Tunafurahia kupigwa za shingo Bashite kaka yako, chaliiiiii

Ndiyo mjue kuwa hatumtaki
Kwahiyo kigamboni mmeshashinda chadema?
 

Hivi akili huwa mnakodisha au zenu?
 
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita nampinga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…