Huna mpango wa kuwa mkunga?? Maana unajua sana kufariji walaqhi'..Usiondoke bwana karibia wanatangaza nipo nawaangalia kwa tv
Na hilo ndilo la msingi.Hata akimchagua poa cha msingi tumemuonyesha kuwa hatumpendi
Heeeeeeh imekuajeeeeh?Jimbo la Buchosa Mkoani mwanza
Dr Charles Tibeza 354
Erick Shigongo 354
😆😆😆😆😆😆😆😆🙌🙌🙌🙌📌📌📌Ametoka kumeza flagyl sio mudaMakonda unaendeleaje hapo ulipo
Hata sisi wa Yombo Bakwata mpaka kwa mwembe yangaa tumemchoka na tukimuona tunampopoa maweWatu wa Buza tumemchoka
[emoji2][emoji2][emoji2]
Muda utaongea ,tusubiriBashite hawezi kuwa Mbunge hata angepita kura za maoni ccm lazima angechezea kichapo zero no zero tu
Amezawadiwa na nani?Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Ka Nassari kamevuna kalichopanda! Kalifikri miaka yote ile kalikuwa kanashinda kwa nguvu za kenyewe?
Angalia Makamba alivyobabua,ndio utajua namaanisha niniKura 68 siyo nyingi kwenye kura ngapi?tuanzie hapo
Wanaccm kigamboni wamemkubaliNdugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Kwani wewe ni ccm?
Ni mtifuano mkuu stay tuned for more yajayo yanafurahishaHeeeeeeh imekuajeeeeh?
Mkuu ww ni mkazi wa kiga ama maana sisi wakazi huku tunataka mtu mfuatiliaji sio huyu ana miaka kumi kigamboni bado iko chaliSasa wamkate ndungurile waone tunaenda nae ACT au CHADEMA.
Ivi Shigongo alikuwa kagombea kumbe?Jimbo la Buchosa Mkoani mwanza
Dr Charles Tibeza 354
Erick Shigongo 354
Ccm ni kama maji usipoyanywa utaoga
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE