Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkuu tunacho furahia ni kuwa Bashite kapigwa na wananchi, na kumuonyesha kuwa hawampendi.

Hata akipewa uteuzi hiyo haitasumbua maana anajulikana kuwa ni mwana mfalme.

Ila wananchi wa dsm wamemkataa
Ni mapema mno kusherehekea kwa maoni yangu. Unakumbuka ya Mwigulu Nchemba?

Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Amezawadiwa na nani?

Si wamepiga kura...!
 
kiti cha Siha warudie kupiga kura tena baina ya Mollel na Mwanri. Tofauti waliyonayo siyo signficant kuonyesha mshindi; inabidi Kweka aondolewe zipigwe kura baina ya hao wawili tu

1595264083932.png

Vile vile jimbo la Buchosa Mwanza warudie kupiga kura baina yaShigongo na Tizeba kwani wamefungana

Dkt. Charles Tizeba – 354
Eric Shigongo James – 354

Nassari kaangukia pua ya nguvu kweli kweli huko Arumeru Mashariki; atakoma kimbelembele

1595264169635.png
 
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Wanaccm kigamboni wamemkubali
Mkateni halafu mumpe huyo wowowo wenu muone uchaguzi utakavyokuwa simple kwa wapinzani
Ndungulile kwa Kigamboni anakubalika hadi na wapinzani
Naongea kama mkazi wa Kigamboni nitakayepiga kura.
 
Okey basi tupunguze hiyo kura yako moja. Tufanye tofauti sasa ni 67. Democrasia ichukie mkondo wake

Back
Top Bottom