Ni kweli ww na Magufuli hamumtaki Ndugulile bali mnataka Makonda. Hata kama unazunguka ila unayemtaka ni Makonda. Ndugulile ni Doctor, ushauri alioutoa ulikuwa wa kitaalamu, na sio wa kuendana na hisia za rais. Magufuli amebakiza miaka mitano madarakani, lakini elimu ya udaktari ni ya kudumu. Ndugulile atakuwa mwendawazimu kama mtaalamu kutoa ushauri ulio nje ya utaalamu wake, kisa kumfurahisha rais ambaye sio mtaalamu, na anaamini kwenye mitishamba.

Ww endekeza siasa za kichovu kwenye kila jambo, Ndugulile analinda taaluma yake. Huyo Makonda wako kapigwa bao, hata kama mbeleko itatumika huko mbele, lakini ukweli ni kuwa Makonda hana ushawishi huo.
 
Makonda ni husler na mpambanaji,hajaogopa amethubutu. Vijana mpongezeni makonda na mpeni pole ya kushindwa Amejifunza mengi kwa mchakato huo.Makonda ana roho ya kiume,nimemkubali kwa uthubutu wake.
 
Kilichompa kura ndungulile ni mpinzani aliyewekwa nae, ndungulile hafai kuwa mbunge!
 
Kwaio kigezo ni kumpinga yule bwana?
 
Acheni BANGE ninyi, kulikua na haja gani ya kusumbua watu kama ni kweli unavyojaribu kuaminisha hapa kwa kutumia nguvu?Puumbavu, imeisha hiyo.
 
Lema hana chake pale. Atapata kira za mateja tu ila sio za wengi wanaojitambua.
Bai bai lema...
Sasa kama haujui hili jimbo mwaka huu ndiyo fainali ilipo maana matokeo ya urais yanajulikana.

Huyo jamaa ndiyo atapigiwa kura na wajinga na ndugu zake wauza kuku hapa Arusha. Nani anapenda kiongozi arrogant...
 
Ugeni upi? Yani Makonda ni maarufu kuliko Ndugulile maana yake ni kuwa umaarufu wake umembeba hata kupata hizo kura. Hiyo inaashiria Makonda hakubaliki maana kawekeza sana kisiasa Kigamboni

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Siha
Dk. Godwin Mollel - 148
Aggrey Mwanry - 147
Tumsifu Kweka - 53


Habari ndiyo hiyo
Huyu ingekuwa mshindi lazima apate nusu angekuwa nje. Sasa hivi anatakiwa ajipange sana kwenye uchaguzi Mkuu kwa sababu zaidi ya nusu ya wajumbe hawakumtaka.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…