Asante Bwashee, vipi unaonaje bado Makonda ana nafasi ya kutinga bungeni kama 'baba 'ake' akipata ridhaa tena?
Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.

Ndugulile alitetea sana Kigamboni isiuzwe kwa mabeberu so wananchi wanamkubali.
 
Mambo mengine ni upuuzi mtupu.
Kule Chadema alikuwa na hadhi na heshima. Huku ana kuja kupigia watu magoti dume zima.
Kama hao wachache kaanza hivyo je majukwaani ata lamba watu magoti??
Huyu nae nitafurahi akimfuata Makonda na kina Nasari
Dua za wana mageuzi ni kubwa na zina nguvu maana Mungu yupo upande wetu
 
Nimeona baadhi ya wagombea wakipata kura 0 mfano Kiagmboni walikuwa wengi?
Swali je wwagombea hawapigi kura?
Na kama wanapiga basi huenda mtu aliwapa watu wakagombee ili wampigie kura na ndiyo maana hawakujipigia. Nimewaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…