Binafsi ata Mimi nimependa hiyo idea yakuhesabiwa kwa uwazi pia imeonyesha wazi kuwa hakuna anaemkusudia kati yao.
 
Silinde vipi wadau huko momba


20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
MWENYE VIDEO YA GWAJIMA AKISEMA KUHUSU MH WETU HUYU NGOJA NAPITA TU
 
Safari yake imefika, mpe salam..
Pia yule wa moto chini kule mbeya, kiama kimefika...
Wanapukutishwa na wananchi mmoja baada ya wengine...

Sio kwa kura za wananchi, labda kwa maagizo ya rais.
 
Kama kuna watu wametafunwa na dhambi ya usaliti wa wananchi ni Nassari

Hata CCM hawakumkubali kwa jinsi alivyousaliti umma wa Arumeru

Kapata kura 26 , hata CCM hawakubaliani naye.

Jimbo la Arumeru ninyi ni vigogo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Zamaradi huyo mpwaa ndo alisema anaingilika

Mwenyekiti akamwambia lugha zingine hizo kinondoni tunaelewa vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…