20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE
Source : MbeyaYetuOnlineTV
Tumpinge kwa hoja na siyo vioja
Yote kwa yote nina furaha Makonda kupigwa chini hata kama atarudi kwa mlango wa nyuma hii inaonyesha hakubaliki.Watu tulisema sana kuwa hawa watumwa wanapewa pipi kipindi kifupi kabla ya uchaguzi mkuu, lkn kwenye uchaguzi mkuu lazima watipiwe virago
Mwita ndo kiongozi wetuTarime vijijini ni kesho
Yote kwa yote nina furaha Makonda kupigwa chini hata kama atarudi kwa mlango wa nyuma hii inaonyesha hakubaliki.
Akina mtulia na genge lao
Lijualikali mtaalam. Maana jamaa aliongea ujinga sanaYule Nasari kaangukia pua
Mwita ndo kiongozi wetu
Atawashangaza Kama ilivyo kwa Mhe. Dr. GamboTupa kuleeeeew