Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
rudisha hela ya watu

pia ww ndiye umemwingiza cha kike

tafuta danga jingine
 
Kama sio mjumbe wa jimbo husika huruhusiwi kupiga kura.
Kuwa mwanachama pekee haitoshi kuwa mjumbe wa hivyo vikao vya kupiga kura.
 
Tutakuwa vinara wa demokrasia na nchi yetu itaheshimika Sana Kama utaratibu wa kuhesabu kura kwa uwazi utatumika kwa uchaguzi mkuu 2020. Umenikumbusha Marehemu Mh. Moi na kura za "mlolongo"
 
Back
Top Bottom