Ila ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa hukushinda kihalali! Ana record ya kubebwa bebwa!Huyo mtoto pendwa atapitishwa tu na kamati. Daddy is comin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo shangwe tyuuuuuuuuuh mitaaniLijualikali sasa arudie kazi yake ya boda boda au aende akachunge ng'ombe wa mkwewe Ndugaye
Kasoro nyingine ni kuwa nimeona kwa mfano Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ambaye anawajua wajumbe wote wa mkutano wa kumchagua mbunge nae anaamua kuchukua fomu ili agombee ubunge, kwa mtu kama huyu utakuta tayari kawasuka hao wajumbe wasiozidi 500 na ni rahisi kwake kupita kwa kuwa katika miaka mitano ya uenyekiti amekuwa karibu na wajumbe wote,huu si utaratibu mzuri,ungewekwa utaratibu kuwa anayetaka kutia nia akiwa kama ni mbunge ,au waziri ,au mwenyekiti wa CCM kwenye jimbo basi anatakiwa ama atoe notisi kabla ya miaka 3 au 5 kuwa ama achague kuendelea na vyeo alivyonavyo au aachie akisubiri kuja kugombea ubunge katika msimu mwingine wa uchaguzi.Watia nia masikini na ambao hawana nyadhifa serikalini inakuwa vigumu kuweza kupata nafasi ya kuteuliwa kwa huu mfumo, sasa nafasi zitakuwa ni za wenye nyadhifa serikalini na kwenye chama,huu si mfumo rafiki kwa mlala hoi.CCM siyo chama rafiki kwa wanyonge. Pamoja na muamko mkubwa uliooneshwa wanyonge ktk uchaguzi huu kuchukuwa fomu za kugombea ubunge, lkn hakuna hata mmoja ambaye ni mnyonge atapata nafasi ya kupitishwa.
Kwanini? Kura za maoni wengi wao wamepata sufuri kabisaa! Ndiyo kisema hata majina yao hayawezi kupelekwa kwa " "mzee wa mood" (a.k.a inategemea nimeamkaje).
Wenye nazo tu ndiyo wamejizolea kura nyingi karibu kila Jimbo.
Shauri zenu......!!!!
Katambi amedondokea yale meno meusi huko Shinyanga.
Hao sio wachaga ni waparehawa wachaga hawajielewi huyu molel alistahili kupigwa chini kama.wasaliti wengine
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Ndio akili ITUKAE SAWA SASA,Kuunga mkono juhudi za Mh ilikuwa ni STRATEGY za muda mrefu za kurudisha MAJIMBO WALIYOPOTEZA 2015.Mbona sisi tulio unga juhudi za mh shimiwa tumefanyiwa hujuma wakati tulihaidiwa kupita bila kupingwa[emoji27][emoji27]
Kesho patachimbika pale mbeya mjiniNilichogundua majimbo yenye mawaziri manaibu waziri wanaiba kura sana eti Molel katoboa
oooh huyu ndo alitetewa na subwooferCecil mwambe tunamchinja kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo shangwe na furaha mitaani.Pamoja sana mkuu. Hawa manyang'au ni lazima waoneshwe mlango wa kutokea. Naye msaliti Katani Ahmadi Katani kalambishwa sakafu huko Tandahimba, Mtwara.
Jamaa analeta uwongo mweupe. Anadhani wote ni wajinga! Asante kumuaibisha, hajui hata kuufanya uwongo uonekane ni ukweli. Simple arithematic.Mbona hesabu inagoma, inawezekana vipi 84+80+46+22+3+2=237 alafu wajumbe 555 ina maana wajumbe 318 wamekataa kupiga kura?
Pachimbike vipi wakati Tulia kashinda kwa kishindo.Kesho patachimbika pale mbeya mjini
Mbeya mjini kapita Dr Tulia kwa kura nyingi mnoooooooooooohKesho patachimbika pale mbeya mjini
Mkuu usijenge daraja kabla hujauona mto,amini usiamini huu sio mwisho wa Makonda anaweza hata kuteuliwa kwa na mkuu kuwa mbunge na akawa waziri au hata kurudishwa kwenye ukiranja wa mkoa,au mumesahau ya AndengenyeBashite hawezi kuwa Mbunge hata angepita kura za maoni ccm lazima angechezea kichapo zero no zero tu