Kafulila alienda kutia nia wapi mkuu?
Wewe Naye huyo kalai kusoma SAUT na hajamaliza law School maana wamekula kichwa ni debe tupuBahati nzuri advance alikuwa mbele darasa moja,then nilimkuta udsm akiwa mwaka wa pili
Hakuwahi kushinda kwa juhudi zake binafsi. Kama si kubebwa basi ni forgery ama kuiba. Si unaona hata vyeti vyake vya shule ni vya magumashiIla ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa hukushinda kihalali! Ana record ya kubebwa bebwa!
daaaaa so sadNimeona sehemu Katambi chali ila sina uhakika
Hahahah wasafi wanafki. Sasa Makonda ndo atajua marafiki wa kweli ni kina nani.
Aisee ata pata taabu kweli kweli mkuu bina Adam wabaya omba usifilizike wata kukana mchana kweupe makonda anaenda kupata shidah kubwa sana maana record za mbaya kuliko za shetaniHakuwahi kushinda kwa juhudi zake binafsi. Kama si kubebwa basi ni forgery ama kuiba. Si unaona hata vyeti vyake vya shule ni vya magumashi
Nimecheka, amekomenti kinyonge sanaHahahaha
Kumbuka kuongoza kura za maoni sio kuchaguliwa kugombea ubunge kupitia ccm, anaweza chaguliwa hata wa tano hivyo bado final say kamat kuu
Kawe vipi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda Vita yako nae mkiwa Kitandani.
Walevi hawa wa club za usiku ArushaMsando kapata kura 19, rafiki yake Bananga alipata 22. Watajibu nini kwa walevi wenzao?????
Waliwadanganya wanakubalika sana.
Yajayo yanahuzunisha.
Chaliiii,ameanguka
JESUS IS LORD[emoji120]
Hakika amestahiliKigoma Kusini Mkuu mshindi ni Hasna Sudi Mwilima 273
Kafulila katika wagombea wanne wa mwisho kura 64 tu,
Shinyanga,na kaangukia pua km kafulilaNajaribu kuwafuatilia wateule wa Rais Magufuli waliobwaga manyanga na kutia nia ya ubunge.
Yule aliyekuwa DC wa Dodoma mh Patrobas Katambi sijamuona popote, je hakuwahi kutia nia?
Maendeleo hayana vyama!
siha ni wachaga mkuu, sema jimbo lile lina nusu wachaga na nusu jamii ya wafugaji wamasaiHao sio wachaga ni wapare
Hakika amestahili
Sijui Nani aliyemshauri kwenda huko wakati Jimbo la Kibamba lilikuwa wazi,Aisee ata pata taabu kweli kweli mkuu bina Adam wabaya omba usifilizike wata kukana mchana kweupe makonda anaenda kupata shidah kubwa sana maana record za mbaya kuliko za shetani
Kigoma Kusini Mkuu mshindi ni Hasna Sudi Mwilima 273
Kafulila katika wagombea wanne wa mwisho kura 64 tu,