Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,178
- 4,410
Ni ushauri mzuri wa bure lakini unaweza kuwa shubiri kwa yule mwenye masikio kama ya punda mwenye njaa
Sent from my J5 using JamiiForums mobile app
Sent from my J5 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!Wale mastar walijua kuwa maarufu instagram ndo ushindi. Nasubiri matokeo ya Babu Tale.
Kure taarime inaitwa "kufirimbwa"Amefirimbwaaaaa kura 118 Kwa 250
Ayaanike hayo anayoyajua hadharani kuusu mh Raisi ndio atakapojua TISS wamelala au wapo kazini
Watamshughulikia kisawa sawa,Makonda hawezi kushindana na serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumemwambia akapige mswaki kwanza!
Yani unadhni kuw atapita?Nasubili matokeo ya" Li sun Li hot"
Sijui atalia au atacheka
Labda Vita yako nae mkiwa Kitandani.
Hahahah wasafi wanafki. Sasa Makonda ndo atajua marafiki wa kweli ni kina nani.Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!
Alikuwa bize na akina Roma mjini akawasahau wapiga kura wake.Mwakyembe Kaliwa kichwa huko [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1512184
Wasafi ni chalii, makonda, talle, mwakyembe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!
Kwakweli ndugai,zungu imetosha,naomba Mungu wapumzishwe tuMatokeo ya kura za maoni CCM katika jimbo la Mtera - Lusinde atetea kiti.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai atetea nafasi yake Kongwa katika Kura za Maoni CCM... Ashinda kwa 96%
Zoezi la kuhesabu kura katika jimbo la Ilala limekamilika na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepata kura 148. Mussa Zungu -148 Sophia Mjema -103 Mendrad Mpangala- 07
Uchaguzi2020 Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi. Selemani Jafo-588 Hassan Bangusilo- 1 Fransis Gosbert -1 Mohamed Masenga-1 Ally Goha -2 Zemba Mumbi -2 Zainabu Zowange-2 Chaulembo -3
Mama ana foundation. Nadhani ukiwa karibu na wajumbe kwa miaka 5 ,hawawezi kukutupa.Huko kwetu jenista kazoa kura zoteeeeeeeeeh, mwenzake et 2 tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Wangemuuliza Molel siri ya mafanikio. Katambi atajuta kuuacha ukuu wa wilaya. Elimu yake yenyewe ya chuo cha kata st Augustine.
[/QUOTESi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo ataelewa vizuri uraia ni niniHahahah wasafi wanafki. Sasa Makonda ndo atajua marafiki wa kweli ni kina nani.